sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda ila hebu tupia jicho ila hili limetia doa

    Awali wakati tunaanza kulalamikia mambo kadhaa kadhaa hapo shuleni, baadhi waliamini ni chuki binafsi, vita ya kugombania madaraka, watu kukosa fursa, n.k. Lengo letu halikuwa baya. Kwa wafuatiliaji wa mitandao, tumefanya haya kukosoa na kupongeza taasisi mbalimbali nchini, mfano St. Mathew...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  3. JamiiForums Tanzania Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

    Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips. Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Matangazo ya Kuhimiza Watu kupima UKIMWI / DALLY KIMOKO yamepamba moto sana katika Media za Tanzania?

    GENTAMYCINE nilipoikataa ile Ripoti ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka Jana kuwa UKIMWI umepungua sana nchini Tanzania si mlijifanya Kutonielewa na mkamuunga mkono? Kwa hali ya Maambukizi ilivyo mbaya sasa na Watu wanavyopukutika kila Uchao nadhani taratibu mtaanza kunielewa GENTAMYCINE na...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

    Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua. Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza. Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatapeliwa kiboya sana

    MWANAMKE USIACHE KUSOMA HILI Ni hakikisho la uhai wa mahusiano yako ni dawa ya NACHUJA.Ukitumia hii dawa; 1.Hautaumizwa tena(Mwanaume wako hatakua na mda na mwanamke mwingine zaidi yako.) 2.Kama mwanaume wako ni msaliti Mara tuu ya kuitumia itakua historia 3.Umeshachoka na uongo wake??Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

    Habari wadau. Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s.. Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka. Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ONDOKA SIMBA SC upesi sana Cognizant nimlete Mwekezaji wa maana Simba SC na was kutupa Ubingwa wa Afrika

    Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa Simba SC Ubingwa wa kuanzia NBC Premier League, ASFC na wa CAFCL nitasimamia Mwenyewe na mtafurahi...
  10. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana Israel Mbonyi ndiye mwanaziki anayekimbiza kuliko wote Afriki Mashariki kwasasa na kuwaacha hadi wakina Diamond kwa views Youtube

    Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki. Tumpe pongezi zake. Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini. Wimbo wa ninasiri umetoka...
  11. JamiiForums Tanzania Draw na vipigo kwa mkapa na uhuru vitazoeleka, Ndumba mama ya Simba ilifukuliwa kipindi cha marekebisho ya uwanja

    Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi. Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

    Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo. Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k. Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule. Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati wa kuhubiri au kufundisha kanisani zingatia sana yafuatayo

    1. Ujumbe ulionao uwe na kichwa cha Habari. 2. MAANDIKO utakayosoma yaendane na ujumbe, mahubiri au FUNDISHO unalofundisha MADHABAHUNI. 3. " Bwana Yesu Asifiwe ziwe CHACHE. 4. Kama Ulipanga KUFUNDIDHA dondoo, 7... Halafu ukaona mtiririko umekatika ukiwa pointi ya,4... sitisha KUHUBIRI au...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za jf zilizo bora kwangu, zilizowahi kunichekesha sana

    Humu jf kuna watu story zao ni zaidi ya movie, Uzi wa kwanza ni WA huyu jamaa anajiita analyse, title ya Uzi inasema sijivunii mama wa mtoto wangu, jamaa alipigwa na dingi yake kabari sababu ya kuzalisha jimama, jamaa alipigwa kabari hadi akajinyea,😂😂😂 alivoachiliwa akajisemea kichwani...
  15. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na Kipigo Walichopokea Yanga kutoka kwa Belouizdad

    Habari wakuu, Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5. Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria...
  16. JamiiForums Tanzania Channels nyingine za YouTube zinachekesha sana na kukatisha tamaa

    Habari wakuu, Inakatisha sana tamaa ndugu zanguni. Yaani unakuta channel imekuwa created miaka mitatu iliyopita, ina video kama nane hivi zenye length ya dakika 10 kila moja, contents unakuta ni nzuri tu, video ni HD 1080p, zina ng'aa sana, lakini unakuta video moja ina 276 views, iliyojitahidi...
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ni mingi sana lazima kesi zitaishia Polisi

    Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI. Mawazo yangu juu hali hiyo, Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo...
  18. JamiiForums Tanzania Wayahudi wamempiga sana Mwarabu mpaka Hamas wametema Bungo

    Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye ...? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas. Utatoa hutoi? Sitoi... Kuuuh.... Utatoa hutoi.... Sitoi... Kuuuh. Utatoa hutoi. Natoa... Haya.... Kaa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hili Jambo linanipa changamoto sana

    Kwema ndugu zangu!! Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6 hivi, katika miezi Kama mi3 hivi nilipoanza kuchoka nilianza kuhisi labda Sina mazoezi mwilini ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…