sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Punyeto ilinitesa sana nikafanya hivi kuacha

    Miaka ya 2000 mwanzoni mimi Babu Njunju mzee wa kunjunja na kunjunjumila niliteseka sana mpaka nikafikia kujipa cheo cha master nyeto. cha ajabu ili nigairi kunyetoka hiyo siku husika basi niwahi kuoga nipande kitandani niendelee na shughuli hapo kitandani. hapo sitanyetuka. lakini la haula...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

    Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu. Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni. Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni. Wazimbabwe na...
  3. JamiiForums Tanzania Pilau na biriani zinakosewa heshima sana ukilinganisha kipindi cha zamani

    Miaka 90 kushuka chini swala la pilau na biriani mpaka kuwe na sherehe au sikukuu ndio chakula kinapikwa. Watu walikuwa wapo tayari kukaa na njaa ili wale sana chakula hiko. Kwa sasa imekuwa fujo kila ijumaa ni fujo yani ukienda kwenye harusi walaji wa pilau hawapo kabisa na unaweza usipakuliwe.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa jambo hili niliwaunga Mkono TCRA . Nchi hii wenye akili ni wachache sana

    Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme. Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

    Moja kwa moja kwenye mada. Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu. Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  7. JamiiForums Tanzania Muombe Mungu sana ukose pesa ufahamu tabia za watu zilivyo

    Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa. Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo. Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo. Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo. Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tuishi na wanyama vizuri: paka wangu kaua nyoka jioni ya leo, bila yeye nyoka angekuwa ndani ya nyumba na lolote lingeweza kutokea

    Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake. Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

    Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema. Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa: 1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material. 2. Mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Profesa Janabi: Ogopa sana vitu vitamu vitamu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu. “Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano, mchana matano na jioni matano maana yake kwa mwezi ni machungwa 450, unaharibu afya yako, ogopa zaidi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana. Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE". Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7. Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
  12. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hongereni sana wananchi wanaanza kuwaelewa msikate tamaa kuwazindua wananchi wanahitaji mtu wa kuwasemea

    Juhudi za CHADEMA kuwasemea watanzania na kuwasaidia kujielewa na kuelewa hali zao zinaonekana kuzaa matunda. Ukweli ni kwamba watanzania wengi wanahitaji mtu anayeelewa mambo awafafanulie na kuwapa mwanga kwani kwa kawaida watawala hutumia mwanya wa watu kutoelewa mambo na kuwakandamiza...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mtu akifika miaka 90+ hakuna haja ya kuomboleza kwa huzuni, ni baraka kubwa sana kwa mtu kuweza kuishi maisha marefu, cherish it

    Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko. Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji. kwa mtu mwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

    Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu 🙏🏻 Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana 😔
  15. JamiiForums Tanzania Nitawashangaa sana chama tawala mkimpitisha huyu wa sasa hiyo 2025. Viatu vimempwaya mno!

    Tuwe wakweli, huyu mheshimiwa mama naniliu hajawahi kuchaguliwa na chama wala wananchi kushika nafasi ya rais wa nchi. Yupo pale kumalizia kipindi cha hayati na kuivusha nchi kwa mujibu wa katiba. Na tumshukuru kwa kazi hiyo. Lakini kwa uwezo wake wa uongozi aliounesha katika kipindi hiki cha...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...
  17. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

    Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo. Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje? Je, haoni hatari ilioje? Na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Waswahili walisema, ukicheka nyani, utavuna mabua. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Reports nyingi za CAG zinazoonesha "nyani" wanaolitesa Taifa hili zimekuwa zinapuuzwa kila mwaka, na matokeo yake ndo haya tunayoyaona sasa. Sauti za Watanzania wengi wazalendo...
  19. JamiiForums Tanzania Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

    1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo. Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa. Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo. Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za MAGA, MATAGA na Mwamba Tuvushe ni hatari sana. Ni siasa za kinazi

    Trump alikuwa na slogan yake ya Make America Great Again(MAGA). Baadaye wafuasi wake wakaanza kuitwa MAGA. Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu Trump. Kwao Trump ni kama Malaika au demigod. Kwao Trump hakosei(licha ya kukabiliwa na kesi kama 91). Hawa ndiyo mwezi wa kwanza mwaka 2021 walivamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…