sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenibadilisha sana

    Nilikuwa sijui kuoga wala kuvaa, ila amenipenda hivyo hivyo na sasa najua kuoga na kuvaa. Nilikuwa na lala njaa, ila akanipenda hivyo hivyo na kunipatia chakula, sasa tunashiba. Wengine walimuuliza unampendea nini huyu fukara ambaye hawezi hata kuhonga mia mbili? yeye aliwajibu, ni mapenzi tu...
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Je, simu yako inapata sana joto?

    Simu yako inapata Sana Joto !!! Ulikua unatumia simu fresh tu ghafla simu imebadilika na kuanza tabia za ajabu inapata joto sio mchezo 😏, ukitumia kidogo ilo joto lake unaweza sema umechemsha chai kwenye heater 😀. Kuna sababu nyingi ambazo upelekea simu Zetu kupata sana joto wakati...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Music albums zilizouza sana nchini Kenya kwanzia '70s hadi '90s

    Music albums zilizouza sana nchini Kenya kwanzia '70s hadi '90s. Pata pale aipate.
  5. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wanasaikolojia najua elimu yenu ni kubwa sana ila punguzeni kusema Hallucinations ni mawenge kwa kiswahili

    Bakita ndugu zangu jamiiforum ni jukwaa huru, so natoa maoni yangu. So kama itawezekana naomba myajibu kitaalamu kwa kutoa kufanya research ya neno sahihi mbadala wa Hallucinations kwa kiswahili Ingawa swali sijauliza kwa kitaalamu. Unaposema Hallucinations ni mawenge huwezi amini watu wengi...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama hutotumia akili wiki hii itakuwa ndefu sana

    Mchana umepita tayari mjini mipango.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii imeniuma sana na itamuuma mtanzania yeyote

    Juzi bhna nilienda barbershop kushave. Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto. Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Katibu wa Uenezi CCM Zanzibar: Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa (GNU) inaenda kufa 2025. Naumia ila sina jinsi!

    Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana

    Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa mwakinyo katoa ushilikiano sana mpka akatoboa ukuta na kuzama ndani ya shimo na Alikiba alivunja ukuta...
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Pole sana ewe rafiki yangu mwema

    POLE SANA EWE RAFIKI YANGU MWEMA Yawezekana ulilala mwili tu ila akili na nafsi yako zilikesha zikiweweseka juu ya hilo jambo unalokabiliana nalo. Moyo na nafsi zimeinama Yawezekana ulilala ukiwa na maswali mazito yaliyokosa majibu, umeamka ukiwa na maswali yaleyale yasiyokuwa na majibu juu ya...
  11. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Usimchukie sana adui yako na kuwa mpofu ya uangamizo wako!

    Kama una chuki na adui yako jitahidi chuki isizidi. Pindi chuki ikizidi inakupofusha kutoona uangamizo wako. Yann ya kumtilia adui yako sumu kwene kisima ambacho wewe mwenyewe ndo unatumia maji?? HISTORIA YA SOMALIA NA JINSI NCHI KUBWA ILIVO ANGUKA CHUKI. Wasomali walijikuta wametawanyika...
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan🎓

    (C&P) - "Mgeni Maalumu wa Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uongozi na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

    Yani katika pita pita mitandaoni nikakutana na hizi sms za kijana akiutongoza mshangazi...😅😅😅 nimecheka sana
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini muziki wa Congo unapendwa na umejipatia umaarufu sana Tanzania?

    Umaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala? Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake...
  15. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanatukosea heshima sana

    Kwa siku za karibuni kumekuwa na tabia kwa wanasiasa kuanza kuingilia uhuru na haki yetu ya kuchagua maisha ya kuishi na ambayo hayavunji sheria za taasisi yoyote. Kutokana na matukio ya kimihemko ya baadhi ya vyama kutopata ushirikiano kwa raia ambao walidhani maisha yao...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwapambania wanasiasa, polisi maisha yao ni duni sana tatizo nini?

    Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi. Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida. Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Haya maisha mazuri sana

    Wale wakiofika pale page Znz beach Kuna hotels kadhaa Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu Wakati naingia...
  18. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Biblia kitabu cha Ajabu Sana

    Mwaka ujao nitajitahidi nifike pale Israel nikajionee jinsi Mji wa Daudi na Ushahidi wa Kihistoria na Kibiblia, gharama za kuingia kufanya ziara ni shekeli 45-60 sawa na 30,000-40,000 ya kitanzania . Hebu tuone kidogo kuhusu huu unaoitwa Mji wa Daudi Kiaikolojia na Kibiblia, Mji wa Daudi ni...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hyundai wamezindua “Hyundai Ioniq 9 SUV”: Ni moja ya EV kubwa la kibabe sana!

    Hyundai Ioniq series walifanya vizuri sana kwenye Ioniq 5 crossover, sasa wamewaletea Ioniq 9 SUV wapenzi wa EV. Ni moja ya chuma nzuri kwa muonekano wa nje na ndani. Ni nzuri kwa familia kubwa, ina rows 3 za seat, na watu zaidi ya 7 tunaweza kukaa ndani comfortably. Ina kuja na battery...
  20. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Jezi za yanga zimehuzunisha sana japokuwa wengi wanazisifia

    Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano. But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga Yanga kuweni serious na brand yenu, hizo rangi hapo juu hazimo kweny official colour palette ya yanga...
Back
Top Bottom