sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania KERO TANSECO Wilaya ya Nachingwea mnaikosea sana

    Tanesco Tanesco Tanesco Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo. Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili. Mfano leo mshakata zaidi ya mara 10 na watu wanatumia vifaa je vikiungua mtaweza kulipa. Kama mnakata ni bora mkate...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kama hujarithi mali pambana sana

    Umaskini unachosa sana, umaskini unadhalilisha sana, umaskini ni wa kuichukia na kuikimbia, umaskini haufai hata kidogo, kwenye maisha kuna walio bahatika kushika pesa chini ya miaka 30, lakini kwa mifumo yetu ya elimu ya kibongo. Kama hujarithi, hutokei familia bora ni ngumu sana kuwa na...
  3. Fazz

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Salaam wakuu Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa. Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi. Nilikutana na huyu binti...
  4. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

    Ambha anadai kwamba alifanya production lakini hakutoboa akawa ameamua kufunga studio aachane na muziki maana nyimbo zilikuwa hazipigwi na hapati fedha. Sasa akiwa ashaamua kufunga studio, asubuhi kalala kaja yaki anamgongea dirishani anamwita ambha aamke kuwa kaja na faridah anataka wakarekodi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wamekuwa msaada sana kwa watu wanaohitaji msaada

    Mzuka wanajamvi! Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa. Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema. Mungu wabariki bodaboda.
  6. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

    Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo. Au wazee walihama au wapo wapii? Wataalumu wa demographics nipe
  8. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina uhitaji mkubwa sana wa kazi angalau 300K tu kwa mwezi

    Habari zenu wakuu. Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu. Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive. Sifa zangu ni...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili. ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  11. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli jezi ya timu fulani ikivaliwa sana ni kipimo cha ubora?

    Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe. Sina hakika kama wengi wanaifahamu klabu ya Palmeiras ya kule Brazili kwa akina Neymar Jr na Ronaldinho Gaucho, lakini Jezi yake...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara na visiwani ombeni juu ya uchaguzi 2025

    Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo. Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala. Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema...
  14. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Boaz Danken zinanibariki sana

    Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini. Mimi mkristo nasikiliza nyimbo nyingi kila siku zinanibariki ila kwa sasa huyu kijana Boaz Danken nimekuja kugundua nyimbo zake...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

    I salute you kinsmen.. Huyu bwana mdogo mwanzo tulikuwa na matarajio naye makubwa sana Lakini siku zinavyozidi kwenda kibabage amegoma kuwa modern full back .. Yaani anacheza hovyo sana sana, kwanzia mechi mbili zilizopita amegoma kubadilika. Yaani akifika kwenye box tu ndiyo utaona ujinga...
  17. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kile ambacho Israel inakifanya Gaza inaumiza sana. Hezbollah na Hamas mnatizama tu?

    Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa jamaa waliitaka hii vita kwa hima fahima. Hii Vita ilianzishwa kiujanja ujanja sana. Israel walitaka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Familia zetu za Kiafrika zina matatizo gani, kwanini zina ubinafsi sana?

    Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo. Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara. Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie... Kama kuna mali wazee waliacha basi watu watataka ziuzwe kila mtu afe na chake, ili wajukuu nao wakianza maisha waanze kuteseka upyaaaa😃😃😃 ukoo...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
Back
Top Bottom