Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,397
30,670
Mwamba na hoja asikilizwe.

Screenshot_20241130-171841.png
 
Punguza hasira. Inaonekana una tatizo la kisaikolojia. Yani kwako Bora ujambazi kuliko dini?. Shida ya dini ni Nini?. Unajua maana ya ujinga wa mwisho?
Maana ya ujinga wa mwisho ni kuamini mavitabu yaliyoletwa kwenye majahazi na waarabu na wamisionari.
 
Mbon
Maana ya ujinga wa mwisho ni kuamini mavitabu yaliyoletwa kwenye majahazi na waarabu na wamisionari.
Mbona una tumia simu zao na mambo mengine, hujui kwamba kabla yao ulikua una ishi polini una kula mizizi?

Pia ulikua uchi huku ukivaa ka kipande ka ngozi huku nusu ya mwili ukiwa inje.

Hata hiyo shule yako ya kuunga unga wamekuletea wao acha makasiriko.

Kama una madeni usituletee hapa jamvini pambana na hali yako. Una wazarau huku inchi yako kutwa ina kwenda kuomba misaada.

Bila wao kuja Africa 🌍🌍🌍 mpaka leo ungekua una tembea kende wazi acha zarau dogo.
 
Back
Top Bottom