sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wanawake huwamaliza kinyama sana wanaume wanaojifanya wanawajua wanawake

    Familia zenu zipo salama? Toka zamani till now, wale wanaume wanaojifanya ni 'maromantiki' mno na kujifanya wanatufundisha sisi wanaume wengine jinsi ya ku care wanawake, huadhibiwa kikatili sana na wanawake. Mwisho huishia kwenye fedheha na aibu. Huwezi kutafuta cheap popolarity kwa...
  2. A

    Wewe dada na kaka Mungu awabariki sana

    Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri ) Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni Alinifuata PM akanambia kama...
  3. MUWHWELA

    Ubaya utakupa faida gani?

    Niwasalimu ndugu zangu hapa!! Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo. DHANA YA MATESO: Kila nikisoma hivi karibu habari mbali mbali nakutana na binadamu kufanyiana mambo yanayopelekea...
  4. Oscar Lyrics

    Inakera sana pale unapopanga kukutana na demu wako kwa ajili ya kuburudika lakini mwenzio anakuja na kijiji

    Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima, Badilikeni.
  5. Webabu

    Mbowe amekuwa kimya sana tangu siku ile.Jee ni mzima au amekubali

    Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
  6. Pdidy

    Simba hata mil 5 ya mama mmeikosa aibu sana

    Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji Msipojirekebisha mtaaibika kwa mkapa mazimaaaa Tykutanee Amaan stadium
  7. GENTAMYCINE

    ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

    Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
  8. amshapopo

    Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  9. Lord Denning

    Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

    Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania. Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
  10. The Boss

    Wabongo celebrity kujazana kwenye page za watu maarufu duniani ni aibu sana

    Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu. Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi. Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga...
  11. Yoda

    Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
  12. Introvert Music

    Masikini wanachuki sana na mimi tajiri

    Katika hii dunia watu wenye chuki na Matajiri ni masikini mafukara yaani masikini anatamani kuniona Mimi tajiri nikianguka Sasa nataka niwaambie nyie mafukara Mimi sitoanguka milele tena siwataki pm maana mnakuja kuniomba pesa tafuteni hela nyie mafukara msiwe ombaomba Mimi sio baba yenu Mimi ni...
  13. KING MIDAS

    Wazazi tuchunge sana maneno yetu tunayowaambia watoto wetu tukiwa na hasira.

  14. Introvert Music

    Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  15. Introvert Music

    Nachukia sana masikini

    Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini...
  16. Beira Boy

    Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  17. Mel James

    Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

    Katika mahusiano watu hushindwana sana kwenye tabia, hapo hupelekea wapenzi kuachana. Ila sehemu za siri pia ni tatizo kubwa sana hupelekea watu wengi kuachana. Mfano nishawahi kuachana na msichana mmoja mrembo sababu ya harufu kali sehemu ya uke! Kuna watu washawahi kuachana sababu mmoja ana...
  18. Mudawote

    Propaganda za CCM yangu zinakera sana

    GTs, Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita polisi na kuuawa etc. Tuhuma zote hizo zinahitaji majibu toka kwa mamlaka husika, ila bahati mbaya ni...
  19. Tlaatlaah

    Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  20. The25824

    Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
Back
Top Bottom