sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni furaha ilioje jana watu weusi wameshinda. Nimelala kwa furaha sana

    Jana team yetu weusi imeshinda dhidi ya weupe. Kiukweli nliombea sana hilo litokee sababu sikupenda wale weupe wapate ushindi. Mbape, Dembele hawa asili yao ni huku huku kwetu nimefuatilia kumbe Kylian ni Mnyakyusa kabisa. KYLIAN MWAMBAPE na Dembele ni Mnyamwezi. Nikaona hawa ndo wenyewe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

    Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo. Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Aisee hivi majuzi bi mkubwa aliniokoa sana. Mama ni mama

  4. JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  5. JamiiForums Tanzania Ninaomba Rasmi niwe Mlinzi wa John Heche,Viongozi wa Chadema mkipata huu Ujumbe tafadhali sana naomba mumfikishie John Heche

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kukagua simu ya mke/mpenzi wako?

    Usiogope kukagua simu ya mke/mpenzi wako kuna baadhi ya details za muhimu sana utazipata na utajishukuru sana.
  7. JamiiForums Tanzania Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

    Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi, Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi Let say unapata 20,000$ monthly Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$ Pili wazazi au walezi. 500$...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  9. JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  10. JamiiForums Tanzania Kuna huyo sijui chizi maarifa mpuuzi sana

    Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
  11. JamiiForums Tanzania G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
  12. JamiiForums Tanzania Zuwena kabadilika sana

    Yule Zuwena Wa Jana Sio Wa Leo Tena,Yule Zuwena Mpole,Mnyenyekevu na Muungwana Si Huyo Tena, Kawa Kiburi,Mjivuni Na Asiejali Lolote tena. Ama Kweli Muda Ni Kamera Sahihi Ya kutoa Taswira Halisi Ya Tabia Mtu.
  13. JamiiForums Tanzania SABA SABA KUKO VUZURI SANA!,

    Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule, ---TUTOKE TWENDENI HALI NI SHWARI SANA SANA ---
  14. JamiiForums Tanzania Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo tumewaachia police Tukutane barabaran tarehe 8/8 LONDON BOY
  15. JamiiForums Tanzania To be honest nachukia sana vumbi

    Sasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana Na...
  16. JamiiForums Tanzania Ila wadada mmh, ni wachafu sana

    Kuna mdada mrembo sana ukimuangalia si tukakubaliana nimpe jiwe 5 kwa nusu saa, nikamfuata kwake sehemu sitaitaja Ana shepu nzuri ni maarufu hapa dar ! Nikafika Kwake tutashughulika ila alikuwa ananuka alivyotanua nikajiuliza katoa mimba au nini? Kuchek ana kucha ndefu itakuwa hajisafishi vema...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Oktoba 29 inaniumiza sana, nailaani serikali. Hakukuwa na uchaguzi ni Uchafuzi

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia. Akizungumza...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona unapangiwa sana ujue kuna mtu anaikula

    Wanawake wana 100 miles tricks na wala hupaswi kuwahurumia hataa kidogo. Kuna tabia za wanawakee kuwapangia waume zao ratiba ya kuichapa. Mwanaume stuka the moment ukiwa na hamu yeye tayari ameshajimaliza huko kwa Boda wake. Usikubali mwanamke akudrive broo. Wee ichape muda wowote na...
  19. JamiiForums Tanzania Mcheza kwao Hutunzwa? G. Russell, L. Hamilton na L. Norris Wamefanya vizuri sana kwenye F1 British GP Leo!

    Kama kawaida Leo tena British GP imetawaliwa sana na Waingereza. P1 ingawa imechukuliwa na mtoto wa Monaco ila Waingereza wamefanya vizuri sana. Ingawa bado game mwanzo, tushashuhudia 8 GP bado 14 tu tukamilishe mwaka. Matokeo bado yanamfeva Kimi wa Mercedes. Dogo ataweza kuhold moto?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Tumeweka askari wa kutosha sana Mtaani, hali hiyo itaendelea mpaka tutakapoona tarehe iliyopangwa tumepita kwa Usalama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…