Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 760
- 2,529
Wewe mtu nimekukaribisha kwangu upafahamu tayari umeshaanza mambo ya umbea hii itakusaidia nini? Ndiyo nina mitungi sita ya gesi nyumbani kwangu na yote iko full yani hapo na mtu anashangaa kabisa eti "oya.. una mitungi sita ya gesi na yote iko full" yani kaona eti hicho ni kitu cha ajabu.
Mara kidogo jamaa wa magari makubwa ya mafuta akanipigia simu anauliza vipi boss leo uko nyumbani nikuletee mafuta nikasema yess nipo jamaa wakaja na gari kubwa la mafuta ili waniwekee kwenye kisima changu hapa home ili kuepuka kwenda kwenda sheli. Eti anaanza kuwapigia simu ndugu zake kuwaambia aisee kuna rafiki yangu ana sheli nyumbani kwake mimi namchora tu.
Nina mafriji sita makubwa na mafriza sita makubwa alafu pia nina chumba cha kulala mbuzi mimi mvuzi wangu wanalala ndani acheni mambo ya kuiacha mifugo nje ni uvunjifu wa haki za wanyama na ni dhambi pia.
Nimemtumia nauli salt bae aje kunichomea nyama weekend hii maana wachomaji wa nyama wa kibongo hawajui kuchoma nyama wanachoma misuli hawazijui nyama ndo maana juzi nilikula popcorn pale masaki jino likang'oka jinsi popcorn zilivyo ngumu yani kweli hata popcorn mpaka niagize italy jamani!!!! Kwenye hili wabong9 mjirekebishe aisee.
By the way muda huu ndo natua OR TAMBO Airport south africa nipate dinner kisha niende india kulala bongo nuksi tupu na kurogana sana.