BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

Nilishawahi kusema mara kadhaa
Makonda ni mpumbavu . Hata kuwa mtendaji wa mtaa hawezi
Wanaomteuwa nao wapo kama yeye.
Nilijisikia aibu sana kwenye Ile press conference yake ya juzi.
Yani wazir anaacha kuongea mambo serious anaongelea jezi? Jezi?
Anapigania 10%
 
Makonda sio mjinga ila nyie mnaomuona mjinga ndio wajinga,
Akili za makonda ndio zinatakiwa ili uweze kula maisha na vyeo ccm na kupendwa na wakubwa
Ukiwa na akili kama za Nchimbi unapotezwa ukiwa na akili za makonda kwa ccm hiyo ni phd

Mnataka makonda asiongelee jezi na kokoto la wakili 🤣, aongelee katiba mpya na utawala bora?????
 
Huyu Askofu Bagonza mnafiki sana. Yeye kila leo anasema vibaya Serikali. Leo wamesemwa wao kelele kama Malaya kanyimwa hela ya huduma!
 
Isaya 55:7
"Mtu mwovu na aiache njia yake, na mtu mbaya na ayaache mawazo yake; yeye na amrudie Bwana, naye atamrehemu, arudi kwa Mungu wetu, kwa kuwa atamsamehe bure kabisa."
 
Akili za makonda ndio zinatakiwa ili uweze kula maisha na vyeo ccm na kupendwa na wakubwa
Ukiwa na akili kama za Nchimbi unapotezwa ukiwa na akili za makonda kwa ccm hiyo ni phd

Mnataka makonra asiongelee jezi na kokoto la wakili 🤣, aongelee katiba mpya na utawala bora?????
Nimekuelewa.
Japo sikubaliani na wewe katika kusifia upuuzi huo.

Huo upumbavu ndio unaopingwa na kupigiwa kelele na watu wote wanalitakia mema hili taifa pamoja na kizazi kijacho.

Ukiona akili yako inamsifia Makonda na kutamani aina yake ya hila na uongozi wa kijanja janja na wizi ili tu afanikiwe yeye huku anaowaongoza wakitaabika, basi wewe pia hovyo.
 
Ipo siku CHADEMA mtamsifia na kutoa matangazo ya kumtafuta kama Polepole au Nchimbi.
 
Back
Top Bottom