samsung

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung A05, bei 170K

    Habari wakuu nauza Simu Samsung A05 bado mpya. Ram 4gb, Storage 64gb, bei yake 170K
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Samsung ina App ya Siri Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake

    Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje? Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A16 inauzwa

    Brand new.imenunuliwa week iliyopita. Inauzwa. Sababu za nje ya dharura.
  5. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nauza TV Samsung 32 Inch kwa Tshs. 190,000 tu

    Iko katika hali nzuri kabisa haina shida yeyote. Piga or WhatsApp 0788893364
  6. J

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy Tab 8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy Tab 8 Kwa Tsh 250,000,Iko kwenye hali nzuri na Ina mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi unaweza njoo inbox.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung S9 inauzwa

    Samsung S9 Camera Gb 64 Ram 4 Bei 180 Sim Imenyooka Sana Sim Mpya Kabisa Piga Sim 0612323330
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sim INAUZWA SAMSUNG galaxy a14

    Samsung A14 Camera 🔥 Sim Mpya Official sio mkopo Gb 64 Ram 4 Bei 185 Chapu Piga sim 0612323330
  9. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲
  10. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Nauza simu ya SAMSUNG S10 PLUS

    Wakuu, nimepatwa na shida ya ghafla, sana, mwanangu anaumwa, na hapa nilipo sina namna tofauti na kuuza simu yang. Samsung S10 PLUS.. Gb 128 Ram 8 PRICE 280,000. Location: Ubungo Riverside. Phone 0687516723, (whatsapp 0752663748 / 0620224372 Haina shida yoyote. Kama upon tayari unaweza...
  11. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

    Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SIM INAUZWA SAMSUNG GALAXY A32

    Samsung Galaxy A32 Camera Gb 128 Ram 4 Sim Bado Mbichi Bei 230 Maongezi yapo Kidogo Piga sim chapu 0612323330
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sim INAUZWA SAMSUNG galaxy A32

    Samsung Galaxy A32 GB 128 Ram 4 Sim Mpya Kabisa Aimjui Fundi Bei 240 Maongezi yapo Kidogo Pia Nafanya Exchange Na Samsung A15 TU BASI Piga sim chapu 0612323330
  14. M

    JamiiForums Tanzania SIM INAUZWA SAMSUNG A12

    Samsung A12 Gb 64 Ram 4 Bei 125 Sim Ina Clek ambayo Aina madhara piga sim chapu 0612323330
  15. S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV Samsung inch 55, bei kitonga

    TV imetumika miezi 4, bei 1,200,000 Tu. Location: Jet Lumo (Dar es salaam) Contact: 0620813101
  16. flynn05

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  17. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Samsung A05

    Simu imezima ghafla na haiwaki tena. Mafundi wamejaribu kuwasha imegoma. Tatizo nini labda wangwana
  18. O

    JamiiForums Tanzania Huawei wangekuwa namba 1 kwenye soko kisha Samsung. Shida figisu

    Huu ndo ukweli. Checki wanavyo emerge https://youtube.com/shorts/LU34ylP10eo?si=lDy4ipNGT3emQO13
  19. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

    Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung. Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ? Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa...
  20. Ommy 7

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG FAST CHARGE

    OFFER 🔥OFFER ‎SAMSUNG FAST CHARGE ‎Rejareja:Tsh12,000/= Jumla:Tsh8,000/=Kuanzia pc10 TYPE C TO C ‎Brand: new ‎Cont:+255682697124 ‎Delivery: 🚚 Ipo Mikoani tunatuma✅ ‎Delivery juu ya mteja ‎Instagram:Mrnokia_Tz ‎Facebook:Mrnokia_Tz ‎Tiktok:Mrnokia_Tz ‎Tunapatikana Dar es salaam at mikocheni 'a'
Back
Top Bottom