samsung

  1. mgobole

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG SMART 4K CRYSTAL UHD INCH 55

    SAMSUNG SMART 4K CRYSTAL UHD INCH 55 TV NYEMBAMBAA 950,000 0744680670 LOCATION ILALA
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapenda simu za Samsung?

    Sure situmii Samsung na wala sio kampuni namba moja ya simu kwenye moyo wangu, ila ukitoa kampuni ya simu ninayoipenda kuliko zote, basi Samsung ndio inafuatia moyoni mwangu Kuna sababu nyingi sana, licha ya kuwa midrange za Samsung hazitumii sana zile strongest processor ukifananisha na simu...
  3. Ommy 7

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG B310

    OFFER 🔥OFFER ‎Samsung B310 ORIGINAL ‎Earphone,Charge ‎Fm Radio ‎Bei Tsh30,000/= ‎Brand: new ‎Batter: 1000mAh ‎Cont:+255682697124 ‎Delivery: 🚚 Ipo Mikoani tunatuma✅ ‎Delivery juu ya mteja
  4. Q

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG NOTE 10+

    Samsung Galaxy Note 10+ inauzwa kwa Tsh 300,000 tu! 🔹 Hali: Ipo katika hali nzuri sana, haina tatizo lolote 🔹 RAM: Kasi ya hali ya juu kwa multitasking 🔹 Storage: Nafasi kubwa kuhifadhi picha, video & apps 🔹 Kamera: Picha safi kama za kamera ya kitaalamu 📸 🔹 Battery: Inadumu muda mrefu –...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Samsung note 10 plus

    Nauza Samsung note 10+, haina shida yoyote. Bei Tshs. 300,000/= kwa mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0685063688. Karibuni sana.
  6. Ommy 7

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza nokia 106 rejareja na jumla

    Nauza nokia 106 kwa tsh24,000 bei ya rejareja na jumla tsh18,000 tupapatikana dar mikoani tunatuma pia +255682697124 Tunapatikana Dar-Mikocheni. Mikoani tunatuma na Dar delivery pia ipo ni juu ya mteja. Karibuni
  7. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Samsung earphones tuned by akg bei poa sana

    🎧 Samsung USB-C Earphones – Tuned by AKG 🎧 💯 Sauti Safi, Ubora wa Hali ya Juu! ✅ Imetengenezwa kwa ushirikiano na AKG – wataalamu wa sauti duniani ✅ Sauti ya kina, bass laini na treble ang’avu ✅ Inafaa kwa simu zenye USB Type-C ✅ Inakaa vizuri masikioni – haichoshi ✅ Bora kwa muziki, mazungumzo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya zamani Samsung galaxy grand prime + Inasumbua

    Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore. Baada ya kuipeleka kwa fundi aliniuliza kama naweza kukumbuka email na password za google akaunti yangu...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Samsung kuna mpango wa kusitisha simu zake kufungia ili kupunguza mafundi wanaotumia kubadilisha IMEI na FRP

    Samsung kutokana na kukimbizana na ushindani sasa wanakuja na mpango kama ulivyo simu za iphone kama ujawa wakala wa IT mwenye sifa zao na ruhusa ndani ya huduma zao basi uwezi kubadilisha lolote. Hii itaweza kuzuia kama mifumo ya icloud ya Iphone . Mafundi simu naona mwanzo wa kuuza kama...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Samsung washing machine ww90KK6610QX looking for power supply attached here to

    The ic on that big heat sink is shorting can not find the ic thus looking for the power control board Ic ambayo Iko kwenye hilo bati kubwa, (heat sink), imeungua nimeshindwa kuipata hiyo ic ndiyo sababu natafuta board nyingine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Samsung A35 original kwa dar wapi ntapata

    Wakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
  12. M

    JamiiForums Tanzania Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
  13. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua samsung A42 5G mwenye uzoefu kidogo wakuu Je iko poa au vip

    Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
  14. J

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG AO4S INAUZWA TSHS 140,000

    Samsung AO4s, 128GB inauzwa 140,000 Haina kipengele Piga : 0743401502
  15. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung AO4s inauzwa TSHS 140,000

    Samsung AO4s, 128GB inauzwa. 140,000 Haina kipengele Piga: 0743401502
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Samsung wamezindua Galaxy S25 EDGE: Slim zaidi ya Normal S25

    Yeah hujakosea tittle. Samsung leo wamezindua Galaxy S25 EDGE ikiwa ni miezi mitatu tokea Galaxy S25 ya kawaida izinduliwe. Hii Edge ni Special Edition ili ije kupambana na iPhone 17 Air itakayokuja zinduliwa September. Galaxy S25 EDGE ni slim zaidi, ina battery dogo la 3900 mAh...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza Samsung A05 mpya kabisa kwa 225,000/= tu

    Karibu ujipatie simu aina ya samsung A05 mpya kabisa kwa gharama ya 225,000/= tu, Tunafanya delivery. Mawasiliano: 0748270719 Specifications Display Size: 6.7 inches, 108.4 cm2 (~82.1% screen-to-body ratio) Memory: 64GB + 4GB RAM Processor: Octa-Core Front Camera: 8MP Rear Camera: 50MP + 2MP...
  18. bestboy

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Common Interface adapter ya Samsung TV?

    Habari zenu wanajf. Nahitaji msaada wa kupata kifaa kwa ajili ya matumizi ya camcard kwa samsung tv. Kuna port nyuma ya TV lakini inahitaji adapter ili kupokea Camcard. Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata kwa hapa Dar nitashukuru kupata mawasiliano yao. Asanteni.
  19. H

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG GALXY A35 5G BADO MPYAA IPO SOKONI KWA BEI YA KUTUPA

    Samsung Galaxy A35 5G Storage GB 256 Two Sim Cards Imenunuliwa 22/01/2025 Simu bado ni mpya kabisaa Ina Screen protector ya Privacy Bei: 700,000 Maongezi yapo Ipo Dsm kigamboni Simu: 0783242247 Wa kuiwahi maana ni simu nzuri sanaa. Haina dalali, mmiliki ni mimi mwenyewe. Naiuza kwakua nime...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Samsung A14 storage 128 double line

    Samsung A14 Storage 128Gb Clean Double line Bei 280,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
Back
Top Bottom