Camera failed error Samsung S25

Camera failed error Samsung S25

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,317
Reaction score
3,430
Wakuu kwema?

Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa muda mchache nimejaribu kufuata njia mbalibmali za online kusolve tatizo lakini bado lipo naomba msaada zaidi kwa mwenye ufahamu, kuna uwezekano wa kubadilisha harware part ya camera? au ndio nitaiua zaidi

NB:Chanzo cha tatizo nahisi ni kuanguka kwa simu.
 
Ngoja waje ma engenear wa solve tatzo lako
 
Mkuu kwa hizo tabia probably ni HARDWARE issue kama una warranty warudishie waliokuuzia wabadili hardware ni gharama nafuu kuliko kupeleka kwa fundi.

Otherwise badili hardware zipo spare either mpya au za kutoa kwa simu nyingine. Ukiingia kariakoo au kwa samsung dealer hukosi solution.

Ushafanya factory reset na kuclear catche?
 
Umejaribu factory reset/flash simu na bado imegoma?

Kuna dalili zingine kama betri kuwahi kuisha chaji kidogo, speaker kukwama kidogo ukiweka sauti kwa level ya juu nk?
 
Jamani naombeni kama Kuna anaejua kuhack Simu ili niwe napata kila kinachoendelea......kama yupo aje ipo 50000 nitampa
 
Baada ya kuingia ai Haina haja ya mtu kununua simu za gharama sababu ya picha maana kwA Hali ya sasa uwe na na Samsung, iphone itel ubora wa picha ni uleule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom