Karibu Tajiri
Mkuu upo Kigoma nikihitaji hapa Mtwara usafiri upo ndani ya hizo bei?Samsung TV(4K Smart 49”) ipo sokoni.
Bei, 1,000,000/=
Mmiliki mwenyewe, hakuna udalali (Nicheck tuzungumze).
Laptop HP (Specs zipo kwenye picha iliyoambatishwa).
Bei, 550,000/=
View attachment 3570061View attachment 3570062
Mawasiliano: 0797796283View attachment 3570072View attachment 3570073View attachment 3570076
Hahaha!Mkuu upo Kigoma nikihitaji hapa Mtwara usafiri upo ndani ya hizo bei?
Nmeona box lina vumbiHahaha!
Kwanini Kigoma mkuu?
Hapana mkuu, ni rangi ya box tu.Nmeona box lina vumbi
MKoa gani sasa?Hapana mkuu, ni rangi ya box tu.
Karibu.
Nipo Dsm mkuu.MKoa gani sasa?
Asante mkuu.
Sawa Boss 🤝Upo dar sehemu gani njoo pm