samsung

  1. hp4510

    JamiiForums Tanzania Samsung note 4 LTE sipati 4G

    Wakuu naomba maujanja ya app au technical kuhusu hii simu yangu Hii simu ni note 4 nilinunua India sasa kwa kule nilikuwa napata 4g vizuri but kwa hapa bongo nashindwa kupata 4g kabisa sijui shida ni nn Kwa yoyote mwenye uelewa pls msaada tafadhali
  2. C

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Used Samsung LED 40 " Television For Sale

    Nauza Samsung LED 40 " Television UA40H5100AR. Hii TV nilinunua mwaka 2016 kwa laki 9 elfu 60 enzi hizo. Nauza kwa laki 5 tu. Ipo Mbweni JKT, Dar. Wasiliana Whatsapp 0625536529 Samsung UA40H5100AR 40 inch LED Full HD TV Specifications Summary features 3D TV: No, Smart TV: No, Curved...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha samsung galaxy s7 edge camera

    Habari wakuu usikeni na kichwa cha habari apo juu simu yangu samsung galaxy s7 edge tangu juzi imeanza tatizo la kutofungua camera please wajuzi tusaidiane niweze tatua ili tatizo.
  4. Kim Il Kwon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji smartphone Samsung au iphone

    Napatikana Kagera Ngara. Bajeti yangu 350k. Mwenye kua nayo niPM.
  5. i-store

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

    Bila kuwa potezea
  6. uran

    JamiiForums Tanzania Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

    Wakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

    Wakuu nataka kununua simu ya Samsung. Sasa kuna hizi A series na J series. Je, ipi ni mzuri kwa budget ya shilingi laki 6 hadi 8? Au hata S series pia ipi nzuri?
  8. steve111

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A8 on sale only 250,000/=

    Mambo vip wakuu? Sumsung Galaxy A8 inauzwa Price: 250,000/= Storage: 16GB Condition: Excellent condition with No scratch Android Version: 5.1.1 Location: Tabata Segerea(DSM) Contact: 0682823028
  9. J

    JamiiForums Tanzania Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    MAANA YA ku-ROOT ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida

    Kampuni ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasioasilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu katika maeneo mbalimbali ya miili yao kama sura na muonekano, kuonyesha hisia, tabia na akili na pia wana uwezo wa kuzungumza na kubadilishana nae...
  11. Ninja assasin

    JamiiForums Tanzania Msaada: Internet ya Tigo haisomi kwenye Samsung S8

    Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8. Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

    Wale watumiaji wa Android OS, leo nimefanikiwa kuupdate kwenda Android 10 kutoka Android 9 (pie). Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates. Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa.
  13. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Samsung yaongoza katika soko la 'Smartphones' za 5G

    Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni katika kipindi cha robo ya tatu (Third Quarter) kwa mujibu wa utafiti kutoka IHS Markit | Technology...
  14. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Ninauza simu Samsung Galaxy A8

    Bei ni 250,000/= Imetumika. Ni nzima lakini Kioo cha juu kimepasuka. Tofauti na kioo haina tatizo zaidi. Picha:Sijaweza kuambatanisha picha kwa kuwa ninatumia des. comp. Mnunuzi tuwasiliane kwa namba:- 0679494815 Napatikana Dar es salaam.
  15. Lucy25

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Habari zenu wote. Kwa wale wote wanaohitaji smartphone (iPhones na Samsung) Kwa bei nafuu. Napost hapa gharama zetu za simu zilizopo. Pricelist yetu hii hapa chini. Tutakuagizia kutoka nje ya UK itachukua siku kumi tu simu yako kufika nchini. Simu ambazo hazijawekwa bei hazipo on stock. Kama...
  16. Philipo D. Ruzige

    JamiiForums Tanzania Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)

    Hello JF. Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018) Price: Zote napata kwa bei moja ya 220000/= (Used , import from Dubai). Zote storage ni 32GB. Condition: Clean as new Cc...
  17. DEALFORREAL

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung NX30 Camera with 18-55mm IOS + 50-200mm IOS + 30mm f/2.0 Pancake

    Nauza Samsung NX30 camera system . camera body ipo katika hali nzuri kabisa original box, CDs and camera strap. Na inauzwa pamoja na lens zake 3 kama unavyoonekana katita picha Samsung 18-55mm f/3.5-5.6 OIS III Samsung 50-200mm F4-5.6 ED OIS III Samsung 30 mm f/2.0 is pancake lens External...
  18. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Hii Samsung Note 4 inapata moto balaa

    Nimebadilisha battery mara 2, lakini bado inapata moto hatari, japokuwa siitumii sana ila nikiiwasha tu inapata moto mno. Nimeweka apps kama Wake Lock nk lakini bado tu, tusaidiane wakuu.
  19. reyzzap

    JamiiForums Tanzania Samsung A-series za 2019 naona kama zishaanza kuwa yeboyebo

    Nimekuwa mtumiaji wa Samsung A-series tangu za 2015, hizi ni mid-range Samsung smartphone, na wamekuwa wakizibadilisha muonekano mwaka kwa mwaka (binafsi toleo la A-series la 2016 ndio bora kwangu mpaka sasa). Samsung A-series na M-series za mwaka huu, ukiondoa A60, A80 na M40 yaani zote...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Use samsung health on a rooted device

    How to Use Samsung Health on a rooted device
Back
Top Bottom