samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mama Maria Nyerere

  2. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa maamuzi yako kwenye Corona

    Amani iwe nawe Mama yetu! Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi. Leo badala ya kukushauri, napenda sana kukupongeza kwa hatua ulizochukua dhidi ya Corona. Moja ya sifa kuu za kiongozi mzuri ni kuwa anatakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

    Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako. Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka? lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Samia to participate in the Africa-France Heads of States Summit

    President Samia to participate in the Africa-France Heads of States Summit TUESDAY MAY 18 2021 By Alex Nelson Malanga More by this Author Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan is today May 18, 2021 expected to participate in the Africa-France Heads of States Summit on financing...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikitupendeza futa Jeshi la Polisi, Tuletee Huduma ya Polisi

    Mheshimiwa Rais Nianze kwa kukusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lengo ni lile lile la kazi iendee. Tumekuwa na mijadala nchini mwetu kwa nyakati tofauti kuhusu namna Jeshi letu la Polisi linavyofanya kazi. Mara nyingi Jeshi limekuwa likishutumiwa kwa masuala kadhaa ikiwamo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wamulikwe wanaotumiwa kudhoofisha jitihada za Rais Samia Suluhu

    Mabibi na mabwana, mama Samia kadhamiria kwa dhati kabisa kutuvusha salama kama taifa. Hii ni katika masuala yote msingi yakiwamo ya afya zetu na pia katika ujenzi wa taifa. Kuhusiana na afya zetu hasa gonjwa hili linalotikisa dunia, mama Samia aliteua tume ya wataalamu ambayo tayari imeshatoa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Polisi wanadanganya kuhusu mauaji ya Hifadhi ya Ruaha, usikubali hili

    Moderators, naomba msiunganishe uzi huu kwa kuwa una mambo ya msingi makubwa ya ukosefu wa haki za binadamu. Ni thread ya msingi sana katika kututoa katika karaha za utawala uliopita. Nilikuwa nimeacha kutoa thread JamiiForums, lakini kwa hili la Polisi kudanganya umma kuhusu mauaji ya wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa sasa Taifa halihitaji Katiba mpya, Rais Samia Hassan anatosha

    Habari wadau, Awamu iliyopita wengi waliililia katiba mpya sababu utawala uliopita wa awamu ya tano kiukweli uliwabana sana mbavu kila kona mpaka wakajiona kama wao sio sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini SAP baada ya kuingia Mama Samia katika kiti cha Urais kwa kipindi hiki...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

    Wakuu Habari Baada ya ziara ya Samia ya kwenda Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani. Kwanza kitendo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Heshima, Kujiheshimu, kuwa na malengo na kujua wapi unapotaka kwenda

    Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha. Alianza kuwaelezea mapito aliyopitia katika UWAJIBIKAJI WAKE WA KAZI katika SEKTA BINAFSI na TAASISI ZA KISERIKALI...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameweza kufanya kwa Wakuu wa Mkoa, kwanini hakufanya kwa Mawaziri?

    Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia'' kilichofanyika ni UHAMISHO TU wa Wakuu wa Mikoa na kuziba nafasi za wale wamestaafu. Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia anaturudisha Dar es Salaam wakati Makao Makuu ni Dodoma?

    JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda. Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar. Amehutubia...
  14. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinaonesha hapendi wananchi kuonewa

    Mama ana msimamo tofauti kabisa na mtangulizi wake. Hapendi kabisa wananchi kuonewa. Pamoja na kuongea hadharani, lakini hata teuzi zake zimeongea hivyo. Vyombo vilivyotumika na Mwendazake kuminya uhuru wa wananchi katika utekelezaji wa maisha ya kawaida, vimepigwa dhoruba ya kisawasawa...
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali, hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea

    1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia . 2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe makini Sana. Kwa muda mfupi niliomsoma Mama anataka viongozi wenye Discipline ya kutosha. Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Chalamila amalize kwanza tatizo la Daladala na Bajaj Mbeya Kabla hajapelekwa Mwanza

    Mheshimiwa Samia! Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa umri wake bado ana muda mwingi wa kujifunza. Lakini taarifa zinasema, kwa muda mrefu sana Mkuu wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

    Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia Wakurugenzi wa Halmashauri wana kiburi cha awamu ya tano

    Sio kwa ubaya ni kwa mapenzi ya wanaonyanyaswa. Hawa wateule wamejisahau na hawana nia ya kubadilika. Kuna mwanamke mwenzangu nikimsikililiza inatia aibu. Anaendesha Halmashauri kama nyumba yake. Watumishi kwake ni kama vikaragosi. Kwa ufupi kama haijatosha itakuja kutosha. Niliwashawahi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku. Ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana. Kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…