samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muhtasari: Hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha Mwaka 2023/24

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF F. MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2023/24 DODOMA MEI, 2023 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

    WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ... . Wabunge Halima Mdee, Aida...
  4. JamiiForums Tanzania Tuletewe mikataba 15 aliyotia saini Rais Samia mwaka jana nchini China tuijue ina nini ndani yake

    Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China. Ni vyema mikataba hiyo 15...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tested kila rais alipitia majaribu na tukavuka salama

    1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s. 2. ALI HASSAN MWINYI. Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la mabadiliko ya vyama vingi. 3. BENJAMIN WILLIUM MKAPA. Mauwaji ya mwembe chai almanusura vita ya...
  6. JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

    Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm. Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana

    Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko Ilipokuja mwendokasi walipinga Tukaja na bwana la Nyerere walipinga Tukaja na SGR walipinga Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unagombanishwa kwa wananchi kuzuia kuuza mazao nje ya Nchi. Unatutakia Watanzania umaskini wa lazima

    Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya kimataifa. Kwenye uwekezaji wa Royal Tour nia njema nilikupa 100% utekelezaji unahitaji maboresho kidogo...
  10. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  12. JamiiForums Tanzania Bandari: Ushauri wa bure kwa Rais Samia, achana kwanza na suala la kuikodisha kwa wakati huu

    Bandari bado ni kaa la moto. Wabunge na Bunge limeupitisha mkataba, lakini wenye nchi, Watanzania hawajui kilichopitishwa ni kitu gani. Kwamba kuna habari kuwa Wabunge walioenda "kuona" shughuli za DP World katika bandari za huko nje walikuwa compromised, hili linaleta utata mkubwa. Ushauri...
  13. JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatengenezewa shida/ugumu ili asigombee 2025?

    Kuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais. 1. Kubinafsisha bandari. 2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi. Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka haziivi na Rais Samia?

    Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa! Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia. Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine? Pia soma Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia nisingewachukulia poa tena Watanzania

    Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini! Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Taifa Stars waipa Milioni 10 kutoka kwa Rais Samia

    Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika kuwa #GoliLaMama linaendelea na Taifa Stars imejinyakulia Shilingi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia infuata/inatumia model gani ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini?

    Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia command and market economic model Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
  20. JamiiForums Tanzania Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

    Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini. Kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa. Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa. Mifumo yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…