Watetezi wa Rais Samia wamekosa hoja, inaonesha wamezidiwa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki.

Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi wa rasimali za Tanzania?

Wamebaki kueneza propaganda za kipuuzi, kipumbavu na kishenzi.
👇
20230904_080359.jpg
 
👇View attachment 2738287
Ni vilaza.
 
Huwezi kusema Arusha kuna Bahari na zanzibar hakuna, utaonekana kichaa, hakuna hoja ya kujibibiwa kwenye straight forward fact.

Zembwela
Kitenge
Mwijaku

Ambao akili hawana ndo wanaweza kuropoka, na wala sio kujibu hoja za Msingi.
 
Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki.

Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi wa rasimali za Tanzania?

Wamebaki kueneza propaganda za kipuuzi, kipumbavu na kishenzi.
👇View attachment 2738287
Hivi ile hoja ya kwamba mbowe kalamba asali iliishia wapi maana siyasikii yakiiongelea.
 
Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki.

Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi wa rasimali za Tanzania?

Wamebaki kueneza propaganda za kipuuzi, kipumbavu na kishenzi.
👇View attachment 2738287
Hakika wametuaibisha sana sisi chawa wa Mama. Hii kitu fake hata kwa kuangalia tu.
 
Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki.

Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi wa rasimali za Tanzania?

Wamebaki kueneza propaganda za kipuuzi, kipumbavu na kishenzi.
👇View attachment 2738287
Sisi Chawa wa Mama tumehaibika sijui tujifiche wapi !.

Nakala Faidalizy THE BIG SHOW The Boss Lucas mwashambwa Ritz
 
Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki.

Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi wa rasimali za Tanzania?

Wamebaki kueneza propaganda za kipuuzi, kipumbavu na kishenzi.
View attachment 2738287
Akili ndogo wameshindwa kujibu hoja wamebaki kutoa FAKE news
 
Back
Top Bottom