samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko kwa wote wanaotaka kuandamana

    Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu. Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anayoyafanya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuwapa msaada wa kisheria wananchi vijijini

    Mama Samia Legal Aid Campaign imejidhatiti kuwasaidia Wananchi kwa kuwapatia huduma ya Msaada wa kisheria maeneo walipo katika migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi utawala, matunzo ya watoto, ukatili wa Kijinsia n.k. Kampeni hiyo ambayo kwa sasa inatekelezwa Mkoani Singida Yenye malengo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apeleka Bilioni 1.8 Utekelezaji wa Miundombinu ya Maendeleo Wilaya ya Ngara

    Ngara Januari 10, 2024 TAARIFA YA KUPOKEA TZS 1,816,000,000.00 KWA AJIRI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - Ngara. Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anawatangazia wananchi wote kuwa, DKT SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma fedha tajwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia - Singida, 10 Januari, 2024

    Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pamoja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni mtego

    Vile ambavyo serikali ya awamu ya tano iliwaaminisha wananchi kuwa bandari ya Bagamoyo ulikuwa mradi usiotufaa kwa masharti yake, na ikafikia hatua ya kuuita kwamba ni mradi ambao ungekubaliwa na mtu mwendawazimu. Je, serikali imegeuka kuwa mwendawazimu? Inawezekana maslahi yapo lakini mashaka...
  6. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania SGR, JNHPP, daraja la Busisi na ndege 13 ni Matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli. Rais Samia achana navyo

    Mama Samia hongera kwa kazi nzuri. Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Cherehani: Tumuombee Rais Samia akamilishe Miradi ya Maendeleo

    Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa leo Januari 7 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Dk. Emmanuel Cherehani alipoongoza...
  10. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Kampeni - Singida Januari 10, 2024

    UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID KAMPENI - SINGIDA Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pampja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa Wananchi wote pasipo gharama yoyote. Mgeni...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri: Kama Mzee Philip Mpango unaona afya inakusumbua sumbua, 2025 Samia amchague Majaliwa kuwa mgombea mwenza

    Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote. Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia! Tanzania kinara biashara Jumuia ya afrika mashariki

    Ripoti ya benki ya dunia Desemba, 31, 2023. Juu ya mauzo ya bidhaa katika Jumuia ya nchi za Afrika mashariki. Jikite pale tunauza kiasi gani, nasi tunanunua kwao kiasi gani. Tanzania kwenda DRC (Kongo) -Tzsh 769.6 bilioni. DRC kwenda Tanzania tzsh 6.79 bilioni Tanzania kwenda Burundi-Tzsh...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu NEMC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kabla ya uteuzi huu Dkt. Semesi alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhifadhi wa Bahari na Maeneo Tengefu na...
  15. JamiiForums Tanzania Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
  16. JamiiForums Tanzania Sheikh Issa Ponda, amuomba Rais Samia kushughulikia uhai wa Bakari na Juma waliotekwa

    Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za kunyongwa watu yanakithiri katika Serikali yako. Siasa sawa lakini Uhai ndio Na.1.
  17. JamiiForums Tanzania RAISI SAMIA S.SULUHU BAADHI YA TAASISI WANATAKA UKOSE KURA.BARABARA YA KMR BONYOKWA WANANCHI WALIPWE

    MH RAISI SAMIA JANA NILIKUWA MAEENEO YA KiMARA BONYOKWAA KAAENEO KHA KUJIDAI NNILIPOFIKA NILIKUTA NDUGU NA JAMAA WAKIJILIWAZA NA KUONDOA STRESS ZA MAISHA GAFLA AKAJA BOSS WA BAR AKASEMA WAKUU SOON JAMAA WANATAKA KUTUONDOAA..NKAULIZA KIVIPI WAKASEMA BARABARA INAWEKWA LAMI..AJABU AWAJAPOKEA...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

    Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati (Michael Songora Mjinja)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati.Bw. Mjinja atapangiwa kazi nyingine. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

    Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili. My Take Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake ======= Mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…