Je kibali cha takiwa ukitaka kufuga samaki kibiashara ?

chiziwafursa

JF-Expert Member
May 22, 2024
257
218
Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa maana na umind sana
 
Mie naona hapo nahisi kama unatakiwa uchukue kibali si unajua hio nayo ni biashara kama zingine ila kwa tahasisi nenda google
 
Vichaa mmekuwa wengi sana bongo hii.

Au ndo unataka uipeleke thread mbiombio...
 
Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa maana na umind sana
Mtafute afisa uvuvi wa eneo ulilopo atakua abc
 
Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa maana na umind sana
Taasisi inaitwa NIMRI😂
 
Back
Top Bottom