Microwave oven ipi ina choma kuku, samaki na nyama

Microwave oven ipi ina choma kuku, samaki na nyama

Thabit Karim

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
404
Reaction score
830
Habari naomba ushauri ni microwave oven ipi nzuri kuchoma nyama, kuku na samaki ambayo ni durable na yenye bajeti isiyozidi laki nne brand iwe yoyote ila Hisense itapendeza zaidi
 
Nunua Microwave yenye Airfryer....
Kama mikate imepanda bei, nunua keki.....


1760370507282.png
 
Back
Top Bottom