Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.