Natarajia kuvuna samaki sato natafuta mteja/wateja Mwanza

Natarajia kuvuna samaki sato natafuta mteja/wateja Mwanza

Masangutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
814
Reaction score
653
Habari za muda muda wadau bila shaka mnaendelea kufuatilia wagombea waliopita.Nisiwachoshe nipo jijini Mwanza najihusisha na ufugaji wa samaki aina ya Sato ziwa victoria, natarajia kuvuna makadirio ya chini Tani 2.5(2500kg+).

Hii ni kati ya wiki moja ijayo,hivyo naomba yoyote mwenye uhitaji wa kununua kwa bei ya jumla tuwasiliane.
Bei ni tsh.8500/kg.Samaki wanauzito kati ya gram 250 hadi 500gram/nusu.Samaki walio chini ya uzito huo bei ni negotiable(kwa kawaida samaki wenye uzito chini ya 200gm huwa hawakosi),Napatikana Malimbe kabla ya luchelele.

Ahsanteni na karibuni.

20250705_102539.jpg
 
Weka mawasiliano yako mvuvi.
akipatikana mteja wa kuwanunua wote bei inapungua kiasi gani?
 
Mkuu mimi nipo Moshi Kilimanjaro nafanya hii biashara ya samaki, ila napenda wale wa kibua hawa kidogo utokaji wake ni changamoto. Naweza kupata wale wa kawaida?
 
unataka
Mkuu mimi nipo Moshi Kilimanjaro nafanya hii biashara ya samaki, ila napenda wale wa kibua hawa kidogo utokaji wake ni changamoto. Naweza kupata wale wa kawaida?
kibua kiasi gani?
kuna samaki kibao wanauzwa.
 
Mkuu mimi nipo Moshi Kilimanjaro nafanya hii biashara ya samaki, ila napenda wale wa kibua hawa kidogo utokaji wake ni changamoto. Naweza kupata wale wa kawaida?
Mwanza ziwa victoria ni freshwater hakuna ufugaji wa vibua,(vibua ni maji chumvi hasa baharini)
 
Back
Top Bottom