Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Hello
Huu naona mdio chakula chepesi kupika kwa haraka na kitamu hasa pale unapo kuwa umeshikwa njaa na tumbo lina tetemeka
Uta chukua ndizi zako mimi nimetumia mzuzu nikazimenya vzr kisha nika ziweka jikoni zikichemka baada ya mda nika weka samaki vichemke kwasbabu samaki achelewi kuiva so nilikuweka mwishoni ili asiolojeke
Niachukua na simba mbili nikaweka siku taka viungo vingi kabisa
Na nazi ya azam niliweka baada ya kuona ndizi zimeiva pamoja na samaki so nikaweka nazi na pilipili ya unga kidogo sana
End of the day nimeonja chakula kitamu sana hapa nipo na kula na juice ya matunda embe na machungwa
Actually nahisi kushiba sana leo si fikirii kama usiku nitakula tena
Jaribu na wewe utupe mrejesho