samaki

  1. JamiiForums Tanzania Tishio la kuadimika samaki Ziwa Victoria wananchi wamkumbuka Luhaga Mpina

    Taarifa za kuadimika kwa kiasi kikubwa cha Samaki katika Ziwa Victoria zimewashitua wakazi wa Kanda ya Ziwa Victoria na wengi washauri kurejewa kwa utaratibu uliotumiwa na aliyewahi kuwa Waziri Mifugo na Uvuvi nchini, Luhaga Mpina. Soma kwa kirefu tishio hilo la kuadimika kwa samaki katika Ziwa...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

    Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
  3. JamiiForums Tanzania Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

    Wakuu! Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika. Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
  4. JamiiForums Tanzania Jobs positions at Samaki Samaki Restaurant 4 posts

    Karlito’s Way Ltd famously operationally known as Samaki Samaki specialized on sea food as its operational name is a bar and restaurant having been introduced 13 years ago i.e., in 2007 with the mother branch being the Mlimani City mall branch. The branch having done so well and being...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kukatika katika kwa umeme mkandarasi wa stigler's anadai bil18 hasara , cc Wananchi nani atatufidia, samaki kuoza, vifaa kuungua

    CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo, kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
  6. JamiiForums Tanzania Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Samaki kufa kwa kinyesi na mkojo wa ng'ombe inawezekana ,lakini samaki wa mto mara wamekufa kwa sababu hiyo?

    Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana. Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
  8. JamiiForums Tanzania Hili ndio soko kuu la samaki Moshi, Mji unaondaliwa kuwa Jjiji

    Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita. Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile kinachodaiwa kuwa ni katika kuiandaa moshi kuwa jiji na hivyo kuondoa mlundikano wa kuwa sehemu moja...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

    Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma: BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA Jitihada zimefanyika ili kujua...
  10. JamiiForums Tanzania Uvuvi wa samaki jamii ya kamba (Lobsters, Crab, Octopus)

    Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria. Ripoti ya mwaka 2019 ilionyesha bidhaa za uvuvi Kutoka baharini zilizopelekwa nje ya nchi ilikuwa ni Tani 5...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanakula Kasa licha ya wengine kufa kwa sumu waliyonayo?

    Katika pita pita zangu nikakutana na taarifa ya kuwa watu wa nne wamefariki na wengine 40 kulazwa hospitalini baada ya Kula samaki Aina ya Kasa huko Tanzania visiwani .. Na hii inakuja baada ya takriban mwez mmoja watu Saba kufa na wengine kadhaa kulazwa baada ya Kula samaki huyo huyo aitwaye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya samaki degere

    Habari Wakuu. Naomba msaada kupata vifaranga wa samaki aina ya degere. Nipo Arusha. Nipigie 0776655978
  13. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

    Nimeikuta mahali hii Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana. Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie samaki wabichi aina ya kumba/sato/tilapia/perege kutoka rufiji - tsh 10,000/- kwa kilo

    Habari za Leo wanafamilia? Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara. Tunapatikana Mnazi...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei za samaki Mwanza

    Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani? Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
  16. JamiiForums Tanzania Ukistaajabu samaki mchanga, hujamuona samaki wa jangwani

    "Njoo unisaidie kazi fulani, la sivyo hatutakula jioni hii." Nilimfuata. Aliingia ndani ya kibanda chake akatoka na ndoo yenye maji. Aliingia nayo mwenye zizi la mijusi akayamwaga hayo maji juu ya jiwe moja pana lililokuwa limebonyea kidogo katikati. Mijusi walikimbia haraka kunywa maji. Wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada.. Biashara ya samaki

    Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa anasema inalipa vizuri ila hana uzoefu. Naomba mwenye uzoefu au anaefanya biashara hii anipe A B C...
  18. JamiiForums Tanzania Wajue samaki 10 hatari zaidi duniani

    Mamilioni ya watu duniani hutegemea samaki na mazao yatokanayo na samaki kwa chakula chao na uchumi wao. Kuna zaidi ya jamii 30,000 za aina tofauti ya samaki huko baharini na kwenye maji ya mito, maziwa mabwawa nk wakicheza na kukimbizana kwa mawindo na kujilinda. Kunanaina za samaki...
  19. JamiiForums Tanzania Kilio cha samaki, machozi yanaenda na maji

    .
  20. JamiiForums Tanzania Mjue samaki ambaye hawezi kufa kwa uzee

    Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki. Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…