samaki

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Seychelles wanavua samaki katika maeneo yetu?

    Global Fishing Watch shared workspace Kutokea hio webusite ni live na inaonyesha meli au vyombo vya uvuvi vinavyovua,inaonyesha jama wanapenya mpaka karibu ya Mtwara na lindi na kukaribia visiwa vya Zanzibar kwa umbali wa kilomita kama 120. Je, walinzi wetu wanaweza kufika umbali huo kulinda...
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu majina ya hawa samaki wa ziwa Tanganyika naomba anisaidie

  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend. Kuna kamsemo kamoja huwa kanatamba sana huku mitaani...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndugu zetu wa damu Wachina nao hutumia samaki nchanga

  5. M

    JamiiForums Tanzania Pata samaki wa maji chumvi

    Tunauza samaki wa maji chumvi Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu Kwa kilo tunauza 7500 Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua. Wasiliana nasi kwa namba 0765758624
  6. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Samaki mtamu kuliko wote duniani

  7. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi samaki wabichi kwa bei ya jumla kwa jiji la Dodoma?

    Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu. 1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma? 2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili? Ahsanteni...
  8. Mhdiwani

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ufugaji samaki online

    Habari wadau Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa . Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

    Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA) Blobfish Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote. Blobfish Ni samaki wa kawaida anayepatikana kwenye kina kirefu Sana cha bahari kati ya futi 2,000 hadi 4,000. Presha...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unawajua samaki wenye mbawa wanaoweza kupaa angani? angalia kideo

    Exocoetidae ni familia yenye aina 64 za samaki ambao wana mbaywa na wanaweza kupaa angani. Uppaji wao huwa unafanyika baharini ili akichoka anarudi kwenye maji Samaki hawa wanaweza kupaa mita 6 juu ya uso wa bahari na huwa na mwendo kasi wa hadi kilometa 70 kwa saa, na anaweza kupaa hadi mita...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii, hotelini mzungu kampa paka samaki mkubwa

    Wazungu wana mambo ya ajabu sana, wacha nikupe mkasa nilioshuhudia leo Mida ya lunch leo kuna rafiki yangu kazini katutoa lunch rafiki zake twende hotelini kupiga msosi. wakati tunapiga msosi maeneo ya wazi nyuma ya hoteli, tukawa tunamshangaa mzungu flani yupo na paka wa pale hotelini...
  12. East Wind

    JamiiForums Tanzania Tuliopo samaki samaki mlimani city tujumuike

    Tuliopo samaki samaki mlimani city tujumuike.. Uchumi wa kati ndio huu tusherekehe kidogo kidogo
  13. Majigo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma. Soko lake vipi lina upinzani mkubwa? Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu! WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
  14. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Mchuzi rahisi wa samaki na ugali

    Inafaa kwa mabachela kama mimi nimejipikia haraka sana bila kuchelewa nikala nikashiba mchana ukapita. Mahitaji. Chumvi Mafuta Kitunguu kimoja Samaki wa kukaanga. Nyanya (idadi uipendayo) Jinsi ya kupika. 1.Katakata nyanya na vitunguu sehemu tofauti 2.Injika sufuria weka mafuta kiasi yaache...
  15. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Kwenye samaki unapenda kula nini?

    Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸‍♀️🤸‍♀️🤸💃💃💃💃🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️ Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona😅😅 👉🐠🐟🐠🐟🐠🐟 Akili za kuumwa na njaa hizi😅😅😅😅 Maisha...
  16. Savimbi Jr

    JamiiForums Tanzania Samaki Samaki wafungua migahawa mingine inayojulikana kama KUKU KUKU

    Habari wadau wa JF, Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc Nawasilisha.
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi tulivyo na Dreamliners na Bombardiers za kutosha hadi zinabeba Samaki badala ya Abiria, kwa Tanzania nahisi ATCL imepata Faida Kubwa sana

    Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limekadiria kupata Hasara ya Dola Milioni 100 katika Kipindi hiki cha janga la CORONA. Kwa jinsi Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilivyo na Ndege zake nyingi tu na zikibeba Sato na Sangara wakikaa Vitini nadhani Wamepata Faida. ======== Kenya Airways...
  19. East Wind

    JamiiForums Tanzania Mwana JF aliyepo hapa Samaki Samaki ya Mlimani City tupeane company mie nipo fresh mfukoni

    Mwana Jf aliepo hapa samaki samaki ya mlimani city tupeana company mie nipo fresh mfukoni .
Back
Top Bottom