samaki

  1. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya samaki degere

    Habari Wakuu. Naomba msaada kupata vifaranga wa samaki aina ya degere. Nipo Arusha. Nipigie 0776655978
  2. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

    Nimeikuta mahali hii Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana. Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
  3. Infinity Solutions

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie samaki wabichi aina ya kumba/sato/tilapia/perege kutoka rufiji - tsh 10,000/- kwa kilo

    Habari za Leo wanafamilia? Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara. Tunapatikana Mnazi...
  4. Tlmau

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei za samaki Mwanza

    Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani? Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu samaki mchanga, hujamuona samaki wa jangwani

    "Njoo unisaidie kazi fulani, la sivyo hatutakula jioni hii." Nilimfuata. Aliingia ndani ya kibanda chake akatoka na ndoo yenye maji. Aliingia nayo mwenye zizi la mijusi akayamwaga hayo maji juu ya jiwe moja pana lililokuwa limebonyea kidogo katikati. Mijusi walikimbia haraka kunywa maji. Wakati...
  6. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Msaada.. Biashara ya samaki

    Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa anasema inalipa vizuri ila hana uzoefu. Naomba mwenye uzoefu au anaefanya biashara hii anipe A B C...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wajue samaki 10 hatari zaidi duniani

    Mamilioni ya watu duniani hutegemea samaki na mazao yatokanayo na samaki kwa chakula chao na uchumi wao. Kuna zaidi ya jamii 30,000 za aina tofauti ya samaki huko baharini na kwenye maji ya mito, maziwa mabwawa nk wakicheza na kukimbizana kwa mawindo na kujilinda. Kunanaina za samaki...
  8. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Kilio cha samaki, machozi yanaenda na maji

    .
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mjue samaki ambaye hawezi kufa kwa uzee

    Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki. Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

    Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe? Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum. Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

    Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.
  12. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo 11 ambayo huyajui kuhusu samaki

    1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu 2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo 3) Kibaolojia kuna makundi (species) 30,000 ya samaki yanayotambulika 4) Kihistoria Samaki ameanza kuwepo duniani miaka...
  13. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania Mjue Jelly Fish Samaki hatari baharini, ni haja wavuvi kuwa nae makini

    Box Jelly fish (Sea wasp), ni samaki anaepatikana baharini,hasa katika bahari ya Pacific (Indo-Pacific) pia katika bahari ya Atlantic.Hupatikana kwa wingi katika nchi za Australia,New Zealand,Philippenes na mji wa Hawaii ulioko USA. Samaki huyu hujulikana kama 'the most deadliest fish in the...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Shellfish na mapishi yake

    Wakuu naomba kujua shellfish ni Aina ipi ya samaki? Na je mapishi yake yakoje? Asante sana
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Samaki aina ya ‘Asian Carp’ waliopandikizwa mito ya Tanzania wataondoa upungufu wa Protini na njaa?

    Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania? Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Samaki waliokufa ufukweni Dar, hawakufa kwa sumu - Waziri

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ametoa ripoti ya uchunguzi wa samaki walionekana wakizagaa katika fukwe za Hospitali ya Aga Khan na Ocean Road, akisema hawakufa kwa sumu. Tukio la samaki kilogramu 164 kuonekana kuzagaa katika maeneo hayo lilitokea Julai 21 mwaka huu, ambapo Serikali...
  17. J

    JamiiForums Tanzania #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho. Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini samaki wa baharini hawafiki mikoani?

    Wandugu kwanini hao samaki wa baharini hawafiki huku mikoani. Huku sijawahi ona bucha linauza samaki wa baharini. Labda vibua kidogo. Ingekuwa poa sana na sisi tupate dagaa mchele tupige na ugali. Mabucha yote ni sangara na sato. Kwani pweza na hao samaki wengine wa baharini hawakai kwenye...
  19. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  20. Brother du

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kisa cha Samaki na chambo

    Habari za uzima ndugu zangu wana JF. Hii ni story ya ukweli kabisa, na ilinifunza kitu flani kwenye maisha. Sasa sio mbaya kama tutajifunza wote kupitia story hii. Katika jaribio la utafiti, nilimshika samaki kambale kwenye mto flani pale Kigoma, samaki huyo niliondoka naye nyumbani akiwa...
Back
Top Bottom