samaki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya samaki wa maji chumvi/bahari na maji baridi unapenda yupi?

    Kila mtu na anavyoonja ladha kinywani mwake, kuna sisi wengine samaki ni samaki tu bora atengenezwe vizuri hatuchagui maji bahari wala chumvi. Ila kuna watu wanasema mara samaki wa maji chumvi sio mtamu kama wa maji bahari na wengine wanasema samaki wa maji baridi ni matamu kuliko wa maji...
  2. JamiiForums Tanzania Umewahi kufahamu kuwa kuna samaki anaweza kuishi miaka hadi 500?

    The Greenland shark can live over 400 years. It was swimming before Shakespeare was born.
  3. JamiiForums Tanzania Zindiko la samaki Mbenga.

    Kuna huyu samaki hatari anayepatikana Afrika. Kwa kiswahili anaitwa Mbenga. Kwa kiingereza Tiger Fish hasa anapatikana kwenye Mto Congo na matawi yake. Hadi ziwa Tanganyika anapatikana sababu ni sehemu ya system ya mto Congo. Ni samaki lakini ana meno kama ya mamba au wanyama wengine wakali...
  4. JamiiForums Tanzania Nilijifanya M-south Africa Pale Coco Beach. Dadeki! Ati Wali Samaki Tsh 85k wakati wiki hiyohiyo nilikula kwa 25. Wabongo uaminifu Zero

    Hamjambo wote! 1. Nje ya kuandika na kusoma soma ninapenda Kuogelea. 2. Sasa Kila wiki ninakuwa na ratiba ya kwenda beach kukata Maji baharini. Kwa Upare wangu mara nyingi naendaga Beach za bure hasa Siku za katikati za kazi. Weekend sio rahisi kunikuta huko. 3. Napenda kuoga Ile kabla ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Samaki wasio na mapezi na magamba hawaruhusiwi kuliwa

    Samaki wasio na mapezi na magamba hawaruhusiwi kuliwa Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:9-12, yanasema: 9 Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao. 10 Na hao wote wasio...
  6. JamiiForums Tanzania Njoo nikufundishe kupika mchemsho wa samaki na ndizi

    Mahitaji 1. Samaki 2. Ndizi 3.mchicha 4. Karoti 5.limao 6. Chumvi Mpalue samaki wako magamba vzr kisha muoshe vizuri baada ya hapo muweke kwenye sufuria weka maji kidogo sana na chumvi kidgo kisha ukamulie ndimu Washa jiko weka moto mdogo sana samaki asije vurugika Baada ya hapo weka...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Tanzania tungeandaa AFCON Peke yetu tungefaulu lakini kuwekwa kapu moja na walioahindwa kulipa hadi ada Samaki wameoza wote

    Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao? Kenya Hadi hela ya ada wameenda kukopa ndio wakalipa hapo juzi.Wana uwanja mmja tuu ,viwanja vya mazoezi...
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Samaki wa kukaanga mtaani wanakuwa na funza

    Sitaongea sana, usinunue samaki usiku🥹
  9. JamiiForums Tanzania Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Habari za muda huu wana-JF, Nimekuwa nikifanya tafakari ya kina juu ya hali ya Ziwa Victoria tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Wote tunajua kuwa katika miaka ya 1950, uamuzi ulifanywa wa kumwingiza Sangara (Nile Perch) ndani ya Ziwa Victoria akitokea Ziwa Albert na Mto Nile nchini Uganda. Lengo...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

    Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
  11. JamiiForums Tanzania Nauza Samaki Aina zote Kutoka Ziwan Tanganyika, fresh fish (Wenye Bucha za Samaki)

    Aina za Samaki Sangara. Kg 1 Tsh 10,000 Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000 Sato. Kg 1. Tsh. 9,000 Migebuka Kg 1. Tsh 8,000 Nungi. Kg 1. Tsh 8,000 Kungura. Kg 1. Tsh 8,000 Singa. Kg 1. Tsh 7,000 Napatikana Sumbawanga. (Usafr Juu yako Mteja) Name: Silvester...
  12. JamiiForums Tanzania Weka Oda Yako Ya Samaki Kilo 9,500/= tu.

    079 531 536 9 Agiza kiasi chochote unachohitaji. Mzigo unakulia AIRPORT DAR Mnaohitaji mzigo mkubwa kazi kwenu, Piga au tuma meseji. 079 531 536 9
  13. JamiiForums Tanzania Samaki Fresh toka Mwanza zimeingia leo kg 13000 ukinununua zaidi ya kg 10.. Unaletewa bure ulipo Dar

    TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000 UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE CONT 0783 80 52 14 Past DICKSON Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo Mungu awabariki
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

    Simu: 079 531 536 9 Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka. Habari; Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari. Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Tupike wali samaki

    Hi guys,.hope mko poa Tunavyoendelea kumwomba Mungu kuelekea kesho D9 basi tusisahau kula..... Haya tuanze Ukishaweka mchele wako kwenye rice cooker au vyovyote vile utakavyoupika,. Pembeni tutaanza kupika samaki,. Kwenye sufuria yako utaanza kuweka mafuta kidogo,. vitunguu hoho na carrot kama...
  16. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Taifa Bila Elimu ni Kama Kuvua Samaki Bila Uvuvi - Tunahitaji Mabadiliko Haraka!

    Binafsi, ninahisi uchungu na maumivu makubwa kwa kuona taifa letu linavyoelekea kwenye matatizo makubwa ambayo tungeweza kuyazuia kama tungekuwa na viongozi walio na elimu na uwezo wa kutatua changamoto za kweli. Samia anaheshimika sana, lakini kwenye suala la kuongoza taifa lenye zaidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tupike ugali samaki na mchicha

    Hell Kwanza osha mchicha wako vizuri mimi nime tumia mchicha wa kungo’a kule kwetu tuna uita ivyo una kuwa na michanga mingi so uoshe vizuri kisha ukate au una weza usiukate kisha weka pembeni ujichuje maji ili ukipika mchicha usiwe na maji kabisa Baada ya hapo kataka kitunguu chakoa na...
  18. JamiiForums Tanzania Tupike mchuzi wa samaki wa nazi

    I hope mko vizuri Na mnaendelea na majukumu Leo tupike samaki wa nazi(fish curry) Mahitaji Samaki waliokaangwa Karoti,hoho,kitunguu maji 1,tangawizi,kitunguu swaumu punje chache,nyanya moja,mafuta ya kupikia,chumvi Nazi mimi nimetumia halis unaweza tumia hata ya pakt pamoja na curry powder...
  19. JamiiForums Tanzania Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

    Hello Huu naona mdio chakula chepesi kupika kwa haraka na kitamu hasa pale unapo kuwa umeshikwa njaa na tumbo lina tetemeka Uta chukua ndizi zako mimi nimetumia mzuzu nikazimenya vzr kisha nika ziweka jikoni zikichemka baada ya mda nika weka samaki vichemke kwasbabu samaki achelewi kuiva so...
  20. JamiiForums Tanzania Microwave oven ipi ina choma kuku, samaki na nyama

    Habari naomba ushauri ni microwave oven ipi nzuri kuchoma nyama, kuku na samaki ambayo ni durable na yenye bajeti isiyozidi laki nne brand iwe yoyote ila Hisense itapendeza zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…