sakata

Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Sababu kwanini Fei hapaswi kucheza tena Yanga baada ya sakata lake la Azam

    Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga. Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey. Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara...
  2. Sozo_

    Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

    Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine. Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
  3. Kipenzi Changu

    Sakata la Nabii Geor Davie, JamiiForums yatajwa

  4. M

    Kwanini iwe wao tu wakishika hatamu ndio wanatutesa na sakata la umeme? Ina maana wao hawana huruma? Wazee wa madili

    Yaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni. Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea? Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?
  5. BARD AI

    Kikao cha Rais na Mawaziri ajali ya Precision Air, viongozi matumbo joto Dodoma

    Wito wa dharura wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Baraza la Mawaziri kujadili ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air unatarajiwa kutoa jawabu la mifumo duni ya uokoaji inayolalamikiwa huku ukiwaweka matumbo joto baadhi ya vigogo serikalini. Hali inatajwa kuwakumba watendaji waliopaswa...
  6. Logikos

    Sakata la Bundles - Suluhisho

    Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...
  7. The Palm Beach

    Tundu Lissu alipowaambia kuhusu makinikia, walimdharau. Yako wapi sasa?

    Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais ajaye wa Tanganyika. Pamoja na jaribio la serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kutaka kumuua mkosoaji...
  8. BARD AI

    Bunge kuihoji Bodi ya Mikopo sakata la upendeleo utoaji wa Mikopo

    Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda. Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
  9. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  10. BigTall

    Zanzibar: Waziri wa Fedha aelezea sakata la Mbunge Toufky Turky, asema amekamilisha kulipa ushuru wa Marcedes Benz G Wagon, ampongeza

    Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz G Wagon aliloliingiza Nchini Januari 2022, fafanuzi umetolewa. Waziri wa Fedha na Mipango wa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA. Na Robert Heriel Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha. Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka kuvua Utu WA Mtu. Unapozungumzia kutoka na Mke WA Mtu sio Jambo la mchezo. Kila mtu anajua Kwa...
  12. BARD AI

    Sakata la aliyeuawa na Gari la Magereza, ndugu wamkomalia Mkuu wa Gereza

    SAKATA la ndugu wa Richard Bukombe mkazi wa Miyuji jijini Dodoma, aliyefariki dunia kwa madai ya kugongwa na gari la Jeshi la Magereza limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kumtaka mkuu wa jeshi hilo kutowakingia kifua wahusika. Pia wameiomba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na...
  13. Mpinzire

    Sakata la Makinikia linatuonesha Watanzania tusivyo wamoja

    Asalaam Alyekum Ndugu zangu Watanzania! Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu Watanzania! Kwanza nitaanza kurejea mgogorowa IPTL na Serikali juu ya Escrow Account, nakumbuka vyema jinsi Serikali ya Rais Kikwete ikivyojitahidi kusimama upande wa IPTL na kusisitiza zaidi kuwa Serikali haikuwa na hela...
  14. Vontec

    Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

    Anaandika Shaffi Dauda Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa. Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
  15. The Dictator

    Naibu Spika wa Bunge Musa Zungu alaumu tozo kukataliwa. Wananchi, makampuni ya simu na benki zahusishwa

    "Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].” "Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali...
  16. Mystery

    Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  17. The Supreme Conqueror

    Sakata ya Simba Day

    Simba yakutana na malalamiko kutoka kwa chama cha wenye ualbino Tanzania.
  18. Hussein Massanza

    Sakata la Dario: Mashabiki wa Singida Big Stars, tulieni..

    Watu wa Soka, Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars. Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za kweli. Dario ni mchezaji mwenye kandarasi ya miaka 3 na klabu ya Singida Big Stars. Tunafahamu, uwezo...
  19. BARD AI

    Sakata la Kizz Daniel: STR8UP Vibes na Uongozi wanazungumza na wanahabari muda huu

    Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam. Leo Mwimbaji huyo akiwa na Kampuni ya Uandaaji matamasha ya burudani ya STR8UP Vibes pamoja na uongozi...
  20. GENTAMYCINE

    Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
Back
Top Bottom