sakata

Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika wa Bunge Musa Zungu alaumu tozo kukataliwa. Wananchi, makampuni ya simu na benki zahusishwa

    "Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].” "Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  3. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Sakata ya Simba Day

    Simba yakutana na malalamiko kutoka kwa chama cha wenye ualbino Tanzania.
  4. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dario: Mashabiki wa Singida Big Stars, tulieni..

    Watu wa Soka, Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars. Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za kweli. Dario ni mchezaji mwenye kandarasi ya miaka 3 na klabu ya Singida Big Stars. Tunafahamu, uwezo...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kizz Daniel: STR8UP Vibes na Uongozi wanazungumza na wanahabari muda huu

    Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam. Leo Mwimbaji huyo akiwa na Kampuni ya Uandaaji matamasha ya burudani ya STR8UP Vibes pamoja na uongozi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  7. Adlo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu sakata la Escrow

    HABARI Wana jamvi, napenda kujua zaidi kuhusu sakata la escrow, kwa mtu kama Mimi ambaye nimeishia kusikia sikia tu, MPAKA kupelekea baadhi ya viongozi kujiudhuru, na kumbuka aliyekuwa mbunge wa kagera (nimemsahau kina) ila alikuwa mwanamke alistaafu ubunge huku akizidi kupinga kujihusisha na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Deusdedit Kakokonwa TPA akamatwa nyumbani na begi lenye USD 1,625,800

    Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aeleza alivyovumilia mashambulizi, ajifananisha na Kocha Mourinho sakata la kukatika kwa umeme

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua kwani kila umeme unapokatika jina linaloibwa ni lake. “Kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua, kila umeme unapokatika jina lililoimbwa ni la kwangu wala sio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

    Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha. Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
  11. music mimi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ngorongoro; Tusioelewa vizuri tueleweshwe

    Uelewa wangu mpaka sasa ni kwamba Ngorongoro ni hifadhi na eneo la urithi wa dunia. Ni eneo lililotengwa kwa sababu ya upekee wa binadamu ambao ni Masai wanaishi na wanyamapori uku wakifanya shughuli zao in a traditional way. Serikali inataka kuwaondoa Wamasai wote Ngorongoro kwa sababu ya...
  12. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Sakata la wabunge 19: Kesi yarudishwa tena mahakama kuu baada ya kurekebishwa

    Kesi ya Halima Mdee na Wenzake imerudishwa tena Mahakama kuu baada ya Kurekebisha makosa yaliyokuwepo awali na yaliyopelekea kasi hiyo kutupiliwa mbali.
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbunge atuhumu Wabunge wenzake sakata la Loliondo na Ngorongoro adai wana maslahi yao binafsi

    Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga ametoa tuhuma kwa baadhi ya wabunge ambao kwa makusudi wanaipotosha Serikali na kuichonganisha na wananchi kuhusu sakata la Loliondo. Mayenga ametoa shutuma hizo leo Juni 22, 2022 wakati akichangia bajeti kuu ya Serikali, bungeni Jijini Dodoma. “Machafuko...
  14. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania UN yatoa tamko sakata la Loliondo, yataka Tanzania kuondoa maafisa wa Polisi Ngorongoro

    Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi wa habari, wanasheria, waangalizi wa haki za binadamu na asasi za kiraia kuingia Loliondo...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sakata la Baraka Shamte: Hatari ya kusema yasiyotakiwa kusemwa

    SAKATA LA BARAKA SHAMTE: HATARI YA KUSEMA YASIYOTAKIWA KUSEMWA Katika kila jamii kunakuwa na ''mwiko,'' yaani kitu kisichotakiwa kufanywa na kwa kawaida huwa watoto wanafunzwa toka udogoni. Katika jamii nyingi watoto wa kiume hufunzwa kutofungua mifuko ya wanawake uwe mama au dada zao...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita inavyozikwa rasmi kwa kafara la sakata la Ngorongoro

    Wakuu, Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa! Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania. Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu na tunu ya kujivunia ulimwenguni mwote. Wahusika wameamua KUTUMIA udhaifu wa serikali ya awamu hii...
  17. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

    Hello Great Thinkers.. HIli sakata limenisikitisha sana, Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right.. Nimeandika topic hii ili kama...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ngorongoro: Tundu Lissu adai vyombo vya habari vimetishwa na kunyamaza

    Kayasema haya kupitia mtandao wa twitter masaa mawili yaliyopita:
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

    Leo Bungeni baada ya Waziri mkuu kuongelea video inayosambaa kwamba kuna mapigano yameanza Ngorongoro, Spika Tulia Ackson ametoa maoni yake na kutaka mhusika ashughulikiwe na taasisi zilizosajiliwa nchini zifate. ====== Spika: Tupo kwenye vita ya kiuchumi na nchi zingine, tukiwaacha hawa...
  20. albab

    JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la wanafunzi kulawitiwa; Mamlaka zifuatilie Shule ya Msingi Nkuhungu jijini Dodoma

    Mamlaka husika chunguzeni shule ya msingi NKUHUNGU iliyoko Dodoma Jiji NKUHUNGU. Huu uchafu unafanyika hapo na uongozi wa shule unajua na kuamua kukaa kimya kuepuka mlolongo wa ufuatiliaji/kesi. Baadhi ya watoto wazazi wao wanakiri watoto kuharibiwa ila uchafu huo unafukiwa na baadhi ya...
Back
Top Bottom