sahihi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zamani CCM walisema Zidumu fikra " sahihi" za mwenyekiti Sasa Chadema wanasema ' Zidumu fikra za mwenyekiti'

    Najaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza. Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kiongozi yupi ungeshauri ajiuzulu kutokana na kushindwa kuwajibika katika janga la COVID19?

    Wanajukwaa naomba kutoa hoja hii tuijadili sisi kama Watanzania tuliowapa dhamana watu fulani kutuongoza. Nchi si mali yao bali ni mali ya Watanzania. Je, kwa hali tuliyo nayo sasa wewe kama Mtanzania unadhani ni kiongozi yupi amevurunda zaidi na anapaswa kuachia madaraka? Utoe sababu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  5. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumpangia Mpenzi wako aina ya mavazi ya kuvaa na ambayo hapaswi kuyavaa? Ama kumwambia kufuta aina ya picha kwenye mitandao ya kijamii?

    Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na ni sahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
  6. JamiiForums Tanzania TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

    Wakuu Salaam; 👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

    Ndugu zangu kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu. Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
  8. JamiiForums Tanzania Namna sahihi ya kujifukiza

    Brighton Amolo Majwala, amesummarise mahojiano ya ndugu yetu msomi akihojiwa na Television ya taifa leo kuhusu kujifukiza na kutoa summary hii hapa chini, ni vizuri kushea hii,ina faida kwa watanzania 👇🏻 Dk otieno (Phd), mkurugenzi wa tafiti za Tiba asili, Chuo Kikuu cha tiba Muimbili...
  9. JamiiForums Tanzania Nani yupo sahihi? Ni mimi ama jamaa?

    Jamaa kwake ana mtoto wa kike wa rafiki yake ile kisasa wanaitana 'family friend'. Mtoto huyu yupo Form 4. Aliletwa kwa jamaa ili aweze kusoma kwa sababu Kwa jamaa kidogo mazingira ni rafiki sana, na ni karibu sana na shule. Shule zetu hizi za kata. Binti akawa haraki kufuata utaratibu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kusubiri tupate herd immunity ni njia sahihi ya kukabiliana na #COVID19TZA?

    Wanabodi salaam! Leo nimekuja kwenu ninataka tujadili kuhusu njia za kupambana na #COVID19TZ. Katika hali.isiyo rasmi inaonekana tayari wizara ya afya kwa baraka za mheshimiwa rais imeamua kutatuta tatizO hili kwa njia ya herd immunity. Herd immunity ni njia ya kitaalam ya kuacha ugonjwa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania imekumbwa na ugonjwa mpya unaitwa matatizo ya kupumua

    Habari zenu wanaJF, Ni wiki sasa Tanzania tunatangaziwa watu maarufu wanafariki kwa matatizo ya kupumua tena ni wengi mno sasa ni wakati wa serikali kututangazia haya matatizo ya kupumua yanasababishwa na nini!?, Dalili zake pamoja na tahadhari ya kuchukua.. Ni dhahiri kwamba mh rais kama...
  13. JamiiForums Tanzania Wizara ya afya watalaamu wenu wapo wapi? Tunahitaji taarifa sahihi juu ya ugonjwa wa Covid-19

    Kila mtu sasa hivi amechanganyikiwa, watu wanaishi kwa hofu maana elimu au taarifa kuhusu huu ugonjwa zinachanganya. Mimi binafsi nilitarajia kuwa hata kila baada ya saa moja anakuja mtaalamu wa wizara ya afya na kutoa elimu juu ya huu ugonjwa kwenye Tv. Mfano mmoja tu ni kwenye kuvaa mask ni...
  14. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kupata historia sahihi ya matumizi ya pesa zako? Tumia njia hii

    Bila shaka unaweza ukawa ni mmoja ya watu ambao ulishawahi kufanya miamala na ukahitaji kupata historia ya miamala yako yote kwenye mpangilio mzuri, ili uweze kubajeti pesa zako au kufahamu vizuri matumizi yako. Lakini changamoto ni kwamba kuna ugumu katika kupata historia ya matumizi yako hasa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wadau, ni sahihi kumpa talaka mke mjamzito?

    Habarini wadau! Moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo hapo juu; Mume akihisi imelazimu kutalikiana na mke ambaye ni mjamzito, utaratibu ukoje (ukiwa una ujuzi wa maarifa ya kidini ya Kiislamu itapendeza zaidi) Ahsanteni! Korona ipo, tufanye alichoagiza mheshimiwa Raisi!
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze matumizi sahihi ya Barakoa ujikinge na #COVID19

    MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MATUMIZI YA BARAKOA Uvaaji wa barakoa au “mask” ni moja ya njia za kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Katika kudhibiti kusambaa kwa Virusi vya #Corona Barakoa inapaswa kuvaliwa endapo unakohoa au kupiga chafya, mtu wa karibu yako ana dalili...
  17. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

    Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+ Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini? Tabia? Mwonekano? Au nini??
  18. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kiswahili sahihi ni osha mikono au nawa mikono? Naona kama tunakosea lugha

    Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono. Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno Oga. Kwa nguo tunatumia neno Fua. Wadau naomba mnitoe matongotongo kwa wale wajuvi wa lugha adhimu...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

    Hi guys, Habari zenu, natumaini mpo salama japo najua hali si shwari, kwani hofu ya corona imetawala kila pande ya dunia, tuendelee kuomba Mungu atulinde wakati huo huo tukifuata maelekezo yote yatolewayo na wizara ya afya..!! Naomba nitoe hili jambo, katika mfumo wa swali naamini kuna wajuvi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la Corona, Rais yupo sahihi sana

    Kwanza nawapa pole nyingi waliougua, lakini pia na wenzetu nchi nyingine waliopoteza ndugu zao. Natambua katika suala hili yamesemwa mengi, yakiwapo ya wataalam. Hivyo basi kwa kuwa mimi sio mtaalamu wa afya, naomba nitoe maoni katika mtazamo wa kiafrika na hasa katika muktadha wa nchi yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…