Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

To the matter of fact, kwakua uzazi wao unawahi kukata kwa umri huo kama hajaolewa basi ajitahidi kuzaa ili apate mtoto wa kumliwaza (Mama mnaelewa). Ila kwa kuolewa hakuna fixed time, basi tu vile sijui hua twawachukuliaje wanawake waliochelewa kuolewa.

Lakini Time is Illusion, ni kitu tu tulichoweka. Halafu mimi naweza kuchelewa kwakua ww umewahi au naweza wahi kwakua ninyi mmechelewa So. Inshort Hakuna aliye ndani ya muda.

Watu wa theory of relativity mnanielewa
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Sasa kama Diva Lovenes alikuwa anataka watoe maali ya milioni 100 na wakati malinda Hana. Nani ataoa mwanamke mpuuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba kwani umri wa kuoa au kuolewa nani anaupanga?

Au niulize umri sahihi wa kuoa ni upi? Na mwisho wa kuolewa au kuoa ni umri gani?
Umri sahihi wa kuoa/kuolewa hakuna apangae ila watu wengi hufikiria kuoa/kuolewa na kupata watoto mapema ili waweze kuwalea wakiwa bado na nguvu! Sasa ukichelewa kuoa/kuolewa unaweza pata watoto ukiwa umeshajichokea! Raha ya watoto upate ukiwa ujanani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
1. Tabia mbaya mtaani
2. Shape.
3. Maringo
4. Kuwa selective sana
5. Masomo
6. Kufanyiziwa kimazingara(kufungwa)
7. Dharau na Kiburi hupelekea wanakula jeuri yao.
8. Kutendwa mapema kabla ya umri.
9. Kuzalishwa kabla ya ndoa.

Sasa hapo umri nao si rafiki sana kwao.
Ukute anakimbilia 30 - 40 na mbaya zaidi wadogo zake wanaolewa; yeye yupo home!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom