johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,779
- 141,667
Najaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza.
Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni binadamu ndio tukawa tunasema " zidumu fikra SAHIHI" za mwenyekiti wa CCM.
Nimemsikia mbunge mmoja wa Chadema aliyeko karantini akisema " zidumu fikra za mwenyekiti "......sasa sijajua kama alitaka kuiga ile ya CCM na kukosea au hii ndio salamu yao!
Maendeleo hayana vyama.