sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira,). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii? Mimi siwezi kujisifia kwamba nilikuwa na wazazi makini sana katika suala la malezi kwa maana wakati nipo mdogo...
  2. JamiiForums Tanzania Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

    Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
  3. JamiiForums Tanzania Kijana tumia njia hizi 2 kumjua mke sahihi wa kumuoa

    Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points. 1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza kwa kuuliza wewe nani? Hapo unaoa mwanamke asiye na akili za kutosha au unamuoa mtu mwenye tabia za...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kimaadili ni sahihi mke wa mtu kumsifia mwanaume mwingine?

    Hi guys, Leo hata sina mengi naomba tu kuuliza hili, tunafahamu kuwa wanaume huwa mabingwa wa kutusifia wanawake, uwe umependeza, unanukia vizuri, au vyovyote vile inavyofaa kiheshima na huwa hawatazami huyu ni mke wa mtu ama mchumba wa mtu, huwa wana appreciate tu, na hakuna atakayelishangaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli ya kwamba mteja ni mfalme sio sahihi ona makosa makubwa yanayotumiwa vibaya

    Waliosema mteja mfalme walikusudia umpetipeti na kumheshimu na ujishushe kwa sababu amekuja kununua bidhaa yako, SIO KWELI. Angelikuwa mfalme wa kweli basi angekuwa amekuja kununua ili aniondolee shida zangu pasi na yeye kutatua shida zake. Lakini mteja mfalme anakuja kunichangia mimi nina...
  6. JamiiForums Tanzania Wanahabari na Kiswahili: Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel "O"? Virusi wale ni sahihi kuwandika Corona au Korona?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums Ndugu zangu watanzania; Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel yoyote ile kama "O"? Virusi wale ni sahihi kuwaandika Corona au Korona? Kwa kawaida ya uandishi wa lugha hii ya Kiingereza maneno...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwana FA kujiita Gwiji wakati Fatuma Binti Baraka na fahari zake zote mpaka umauti unamfika hajawahi jiita gwiji?

    Habari wadau..! Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza. Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuoa/kuolewa na mtu asiye wa kabila lako?

    Habari za mchana, Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie mawazo. Natanguliza shukrani, mchana mwema.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa wapenzi au wanandoa kunyoana mavuzi?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Nina mchepuko wangu, kila akiona nywele zangu za huku state house zimekuwa kubwa,basi lazima achukue kifaa ananinyoa.binafsi huwa naona aibu sana kunyolewa mavuzi, so nashindwa kuelewa huu ni utaratibu wa kawaida katika mahusiano au me ndio nazeeka vibaya? Asanteni
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila Upinzani, tuko sahihi au tumepotea? Tujadili

    Happy New Year Brothers and Sisters. NDUGU zangu, Katiba yetu inaweka bayana kuwa nchi yetu itaongozwa na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Kama Taifa tulikubaliana kwa pamoja juu ya hili na mwaka 1992 tulianzisha mfumo huo ambapo mwaka 1995 tulifanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nafikiri ni muda sahihi kwa wanasaikolojia kuanza kutumika kwenye uandaaji wa muvi

    Habarini watu..? Moja kwa moja niende kwenye mada husika ni kuwa ombi au hoja yangu ni kutaka kutumika wataalum wa saikolojia ktk uandaaji wa filamu.. masoko ambayo haswa nimeyalenga ni haya ya kwetu zaidi,namaanisha bongo muvi na wengine ambao hawatumii wataalum hawa. Kwanini watumike...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kuumia kwa ajili ya penzi la mchepuko?

    Wakuu mimi nina mke na nina watoto na mke wangu. Pia nina mwanamke mwingine nilizaa naye. Mkipitia nyuzi zangu za nyuma nilishalileta kwenu hili swala, na mlinishauri vizuri tu. Kwa kukumbushia kwa wale ambao hawakusoma uzi wangu, ni kwamba huyu sijui nimuite mchepuko, japo huwa sijisikii...
  14. JamiiForums Tanzania Natamani 'Jamii' ingeijua sababu iliyosababisha nikafanya vile, Japo hadi leo nashindwa kuelewa kama nilikuwa sahihi au lah!

    My True story. Kisa hiki kinaanzia miaka kadhaa nyuma wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho kimasomo katika shule moja ya sekondari nchini. Nilikuwa nafanya juhudi kubwa sana katika masomo na asilimia kubwa marafiki zangu shuleni walikuwa ni wale wanafunzi ambao 'wanajitambua' na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mantiki ya kisheria DC Kihongosi amekosea, lakini kwa mantiki ya kiuwajibikaji yuko sahihi

    KWA MANTIKI YA KISHERIA DC KIHONGOSI AMEKOSEA, LAKINI KWA MANTIKI YA WAJIBIKAJI YUKO SAHIHI Na Elius Ndabila 0768239284 Jana na leo kuna mjadala mkubwa juu ya uhalali wa Mh DC wa Arusha Mh Kihongosi kuwatandika fimbo watu wanaotajwa kuwa ni wafanyabishara kwa kosa la kuiba viti vya shule...
  16. JamiiForums Tanzania Rais yuko sahihi kuwa tutilie mkazo tiba za asili

    Hoja ya JPM kuwa tutilie mkazo tiba zetu ni ya msingi sana. Dawa nyingi sana tunazotumia leo ni dawa zimetokana na mitishamba au asili yake ni miti shamba. Siku moja nilikuwa na kikohozi, jamaa yangu akaniambia ukichukua mizizi ya ya huo mmea na kutafuna unakata kikohozi. Kweli nilipotafuna...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kugawa mali/vitu vyako vya zamani kwa ndugu, jamaa au rafiki?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; UTANGULIZI ===== Ndugu zangu, umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini unakatisha uhai wa watu wengi wangali wadogo sana kwa sababu tu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Umasikini ndio chanzo cha...
  18. JamiiForums Tanzania Je, haya mazoea ya miaka mingi ya kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, haya mazoea ya miaka mingi ya baadhi ya watu kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae? Nimeamua kuandika haya kwa maana kwamba...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

    Mishahara ya watumishi wa Umma nimikubwa kiasi gani? Unatembelea ofisini kwa mtu unamiuta anasimu tatu smartphone zenye thamani ya si chini ya milioni mbili kila moja, unajiuliza haya mafedha wanayatoa wapi? Je, huu ni utajiri au nikukosa elimu ya matumizi za fedha? Inaweza kuwa tunashangaa V8...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…