sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Ukisikiliza mahubiri ya hii video Kamanda Sirro alikuwa sahihi kabisa malezi ya Hamza

  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

    Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
  3. JamiiForums Tanzania Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    Niki refer na tukio la juzi la Hamza Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna...
  4. JamiiForums Tanzania Askari kuvaa kiraia huku wakiwa mamebeba silaha si sahihi

    Wakati wa shambulio la Bw. Hamza, tumeona watu wengine kwenye eneo la tukio wakidhani Hamza ni Askari. Hii imekuwa kawaida kuwavalisha Askari wetu nguo za kawaida harafu mnawapa bunduki. Inasemekana mmoja wa Askari alijeruhiwa na Askari wenzie maana alikwa na bunduki bila ya sare. Juzi...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge linasaidia Wabunge kukwepa kodi. Jerry Silaa yupo sahihi kabisa!

    Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia adabu Silaa kwa matamshi yake. Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Approach sahihi kwa Askofu Gwajima ilikuwa kumuandalia mdahalo na wataalamu wa tiba wamjibu hoja zake

    Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa kutotishika atazidi kuwa maarufu. Na wakikosea zaidi wakamuumiza popote, au hata wakimfukuza ubunge...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
  8. JamiiForums Tanzania Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauriwe vyema uchumi unakufa

    Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumgonga mzembe na kukimbia ni sahihi au sio sahihi?

    Siku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari, Alikuwa anavuka anaangalia mbele tu bila kutazama upande mwingine, nilikuwa siko spidi sana, lakini tukio lilimfanya aende chini, sikutaka kusimama...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwenda kazini ukiwa na dread?

    Wakuu kwema? Nauliza kama ni sahihi kufanya kazi ukiwa na muonekano wa Rasta (dread). Je, kwa mazingira ya ofisi zetu hapa bongo (mfano mashirika ya umma, mashirika binafsi) wanaruhusu mwajiriwa kufanya kazi hasa mwanaume huku akiwa na dread? Naomba kujua wakuu.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kupiga marufuku masomo ya ziada (tuition) ni sahihi ili kuwapunguzia mzigo wanafunzi na wazazi

    Masomo ya ziada ama tuition yamekuwa yakionekana kama kimbilio la wazazi na wanafunzi wengi, wakiamini kwamba njia hii inatoa fursa kubwa kwa mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake na katika mitihani yake. Lakini kwa nchi nyingi za Afrika mara nyingi walimu wanaofundisha masomo ya ziada...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara yuko sahihi kwa hili

    Kwenye press ya Mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu na bahati mbaya waandishi wa habari hawakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu Haji Manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka na ile bilioni 21 aliyosema ametumia...
  14. JamiiForums Tanzania Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Pahala sahihi na watu sahihi ndio watakaotambua thamani yako

    Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza kunisaidia kum tag kwa aliewahi ona uzi wake Mzee mmoja kabla hajafariki dunia, alimpa kijana wake...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ninachokifahamu sahihi kuhusu Chanjo ya Covid-19, niulize swali nitakujibu

    Kumekua na sintofahamu nyingi mtaani na wengi wanajiuliza maswali kuhusu Chanjo ya Covid, Naomba nieleze kwa jinsi ninavyofahamu na kama una swali niulize nitakujibu kadri ninavyofahamu. Kwanini Chanjo ya COVID 19 inapigiwa chapuo sana Licha ya kwamba ni hiyari? - Hii ni kwasababu dunia nzima...
  17. JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutimiza ndoto

    Imeandikwa Na Smartdunia. Nasikitika kusema,huu ni ukweli unaoumiza, lakini wenye uwezo wa kukubadilisha kabisa. Hebu tuanze na kauli hizi tulizozizoea Kisha tujue madhaifu na mazuri yake yote. "Tafuta pesa ili watoto wako wasikae kwenye vijiwe kubishana kuhusu Diamond na Harmonize" "Tafuta...
  18. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Mamlaka: Ni sahihi IGP kuthibitisha usalama wa Chanjo, Tiba au dawa fulani?

    Nikiacha tamko la IGP kuwa tuwapuuze wale wanaopinga kuchanjwa Covid ambao Mh. Waziri wa Afya amewaita Vibwetere, Azim Dewji akiwashambulia kuwa wanaingilia fani zao na kwenda Mbali zaidi kwa UVCCM na baadhi ya wabunge kuwashambulia kwa maneno mbalimbali. Sitaki kuwauliz hawa wote kuwa miaka ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

    Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
  20. JamiiForums Tanzania Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…