Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Mambo vp waungwana wa jamiiforums.

Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?

media_EyPATovUcAEpW1a.jpg


Lengo kuu la kukutana katika platform hii mara kwa mara ni kuelimishana na kusahihishana katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku ikiwemo lugha, michezo, afya pamoja na maarifa ya kijamii kwa ujumla.

asdeg.jpg


Hakuna binadamu yeyote anayefahamu kila jambo hapa duniani ndio maana hata mtunzi wa kalenda hawezi kuijua kesho yake itakuwaje. Hata mimi Infantry Soldier licha ya kuwa ninasomaga vitabu mara kwa mara, bado kuna mambo mengi sana siyafahamu na ninahitaji kujifunza kupitia watu wengine.

media_EyNerfWXAAYNJ3P.jpg


Kwa wale ndugu zangu ambao ni wataalam wa lugha ninaomba kufahamu ipi ni phrase sahihi baina ya "for president" na "for presidency" ambayo kwa tafsiri ya harakaharaka ninaweza kusema mchagueni mama watoto wangu Bushmamy kwa "nafasi ya Rais" au "nafasi ya Urais"

aswdedfrg.jpg

==========
NJE YA MADA KIDOGO: Je, Tanganyika Law Society na Tanganyika Legal Society ipi ni sahihi zaidi katika mpangilio mzuri wa sarufi? Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba kiingereza nilichofundishwa na mwalimu Fatuma Abdallah ni kwamba adjective hufutana na nouns.

Adjective hufutana na nouns yaaani "Law" na "Society" hizi zote ni nouns ambazo hazikupaswa kufuatana katika kuunda sentensi yenye kuleta maana sahihi bali maneno "Legal" na "Society" hizi ni adjective pamoja na "nouns" ambazo ndio hukubalika katika mpangilio sahihi wa kisarufi katika lugha ya kiingereza

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
presidency inasound well kuongoza state like USA kwani imebeba semantic lengwa.
Sawa mkuu. Basi kama kuna tofuti kama ya Rais wa nchi na wale wa vyama kama TLS na TFF basi ninapendekeza mmoja angeitwa president na mwingine akaitwa presida
 
Back
Top Bottom