sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

    Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media. Watoto wanapata habari...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alikuwa sahihi kwa kauli yake hii

    Ukipitia comments za mashabiki wa yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania huko Botswana, utafikia hitimisho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi kwenye kauli yake kuwa mtu akiwa yanga hata kama ni profesa bado kichwani atakuwa na walakini! Mtu anakuambia eti timu zote...
  3. JamiiForums Tanzania Kufungwa jela kwa Sabaya kutarudisha tafsiri sahihi ya kuwa wapinzani siyo Maadui, bali ni wadau wa maendeleo

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5, chini ya utawala wa hayati John Magufuli, tafsiri ya kuwa mpinzani ilibadilishwa na kuwa ni adui wa maendeleo, badala ya tafsiri sahihi kuwa wapinzani ni wadau wa maendeleo. Utendaji kazi wa watendaji wengi Katika awamu hiyo walijibadilisha, badala ya kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenu wakulima wa Tikiti: Je hii hesabu ni sahihi kwamba eka 1 unapata milioni 8 net profit?

    Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja. Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah kuhusu upatikanaje wa faida ya tikiti kwa eka 1.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

    Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

    Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari. Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii ni sawa?

    Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!. Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu. Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia...
  8. JamiiForums Tanzania Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

    Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu. Ila kwa kweli ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Alama hizi za speed limit highway ya Ubungo hadi Kibamba zipo sahihi?

    Highway ya kuanzia Ubungo mataa hadi Kibaha ipo katika hatua za mwisho kukamilika. Ni barabara nzuri sana yenye upana na nafasi ya kutosha kupitisha idadi kubwa ya magari bila kusababisha usumbufu miongoni mwa watumiaji wa barabara hiyo Hata hivyo kuna hii kero ya alama za speed limit za 50kph...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

    Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua. Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  12. J

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Watoto wapewe taarifa sahihi kuhusu chanjo ya COVID-19

    Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema ni vyema watu wazima wakawa na taarifa sahihi kabla ya kuzungumza kuhusu chanjo ya COVID-19 na watoto Inashauriwa pia kusikiliza maoni na mitazamo yao na kuzingatia hofu zao Ni vema wakaona wapo huru kueleza mitazamo yao kwa watu wazima...
  13. JamiiForums Tanzania Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

    Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Waafrika uzazi wa mpango ni sahihi kwetu? Kama ndio/hapana kwanini?

    Magonjwa, ufukara, ujinga, wingi wa rasilimali tulizonazo, uhaba wa nguvu kazi, ukubwa wa ardhi, teknolojia duni. Tujikite zaidi kwenye haya. Tuna Corona, wataalam wewe hawezi hata kutengeneza chanjo ya kuzuia tauni ugonjwa uenezwao na panya
  15. JamiiForums Tanzania Ipi ni lugha sahihi katika ya marehemu alale mahali pema peponi au marehemu alale panapostahili ?

    Mara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba. Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili Nini hasa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kesi za kubambikiza: Uamuzi mgumu na sahihi ni kutojitetea na kuwaacha waamue watakavyo

    Naamini ipo siku atatokea mtu jasiri ataeamua kutojitetea mahakamani pindi atapobaini mashitaka dhidi yake ni ya kubambikiziwa kwasababu tu ya chuki za kisiasa au vinginevyo. Huweki Wakili unawaacha waendeshe kesi bila wewe kusema lolote halafu mwisho wa siku watoe hukumu waliokuwa wamepanga...
  17. P

    JamiiForums Tanzania BEI ZA vyumba maeneo sahihi UDOM

    Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000 NB Zingatia gharama husika za huduma za kijamii pamoja na huduma mbalimbali muhimu kama maeneo ya michezo,studios nk
  18. JamiiForums Tanzania Bidhaa 9 zinazoongoza kununuliwa zaidi mitandaoni/online. Fanya uchaguzi sahihi

    Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao kama. Mitandao ya kijamii, Application za simu, na tovuti. Huwa zina pendwa Zaidi kutokana na kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Utulivu huleta maamuzi sahihi kwenye kila jambo

    Habari zenu wadau .? Mimi nitaandika kidogo kuhusu utulivu wa mtu na jinsi unavyoweza kumsaidia myu katika kuaminiwa, au kufanya jambo lolote lile katika maisha ya kila siku. Ni maanaya utulivu.?? Utulivu kwangu mimi nasema ni ile hali ya mtu kujipa tafakari la muda kiasi utakao msaidia...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 USHAURI: Matumizi sahihi ya Fedha za Pensheni kwa Wastaafu

    Fedha za pensheni ni malipo anayopewa mwajiriwa (mfanyakazi) baada ya kustaafu kazi/ajira yake. Huwa ni fedha nyingi ukilinganisha na fedha ambazo huyo mfanyakazi/mwajiriwa aliwahi kumiliki hapo kabla. Wastaafu wengi kutapeliwa Hivi karibuni kumezuka matukio mbalimbali yakiwahusisha wastaafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…