Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,059
2,000
Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala.

1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo.

2. Usizae na mwanamke msomi asiyeelewa nin maana ya Elimu, na kudhani elimu kwa mwanamke ipo ili kumpa hadhi sawa na mwanaume au kuonesha mwanamke anaweza kufanya au kusoma km mwanaume tu hivyo kumuondolea dhima yote ya elimu badala yake kumbadilisha mtazamo na kuingia kwenye vita na wanaume.

3. Usizae na mwanamke wa mitandao, fake. Wanaangalia kwenye mitandao au Tv then wanakuja kulazimisha kuyaishi katika uhalisia.

Pole P-Funk, mimi kama Baba nakuelewa ila kuna sehemu unatakiwa ujilaumu wewe mwenyewe kwa kumchagua mama wa ovyo.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
7,490
2,000
Kuna bwana mmoja katika watu wema waliopita yaani salaf swaaeh aliwaambia wanawe kuwa "wanangu mimi nimewafanyia wema nyie kabla hata hamjazaliwa"

Watoto wakahoji "umetufanyia vipi wema wakati bado tulikuwa hatujazaliwa " ?

Yule bwana akajibu "nimewafanyia wema kwa kuwatafutia mama mwema kwanza".
 
Baraja

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
1,249
2,000
Mnawaonea tu wanawake muda mwingine, kuna wanaume washenzi wangapi huko mitaani? Tena Washenzi haswaa! Watoto wangapi wananajisiwa na kulawitiwa? Kuna vitoto vingapi vya kike vinabakwa na kufanyiwa mambo ya aibu na wababa wenye familia zao!? Mshenzi ni mshenzi tu, hana jinsia.
 
themanhimself176

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,722
2,000
Mnawaonea tu wanawake muda mwingine, kuna wanaume washenzi wangapi huko mitaani? Tena Washenzi haswaa! Watoto wangapi wananajisiwa na kulawitiwa? Kuna vitoto vingapi vya kike vinabakwa na kufanyiwa mambo ya aibu na wababa wenye familia zao!? Mshenzi ni mshenzi tu, hana jinsia.
Your missing a point, its all about choosing the right mom for ya babies and not the goodness and the badness of someone
 
Prof alvin

Senior Member
Jun 11, 2016
132
500
Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala.

1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo.

2. Usizae na mwanamke msomi asiyeelewa nin maana ya Elimu, na kudhani elimu kwa mwanamke ipo ili kumpa hadhi sawa na mwanaume au kuonesha mwanamke anaweza kufanya au kusoma km mwanaume tu hivyo kumuondolea dhima yote ya elimu badala yake kumbadilisha mtazamo na kuingia kwenye vita na wanaume.

3. Usizae na mwanamke wa mitandao, fake. Wanaangalia kwenye mitandao au Tv then wanakuja kulazimisha kuyaishi katika uhalisia.

Pole P-Funk, mimi kama Baba nakuelewa ila kuna sehemu unatakiwa ujilaumu wewe mwenyewe kwa kumchagua mama wa ovyo.
Hiii ya pfunk imenifanya kufikiria saana nn hasa haha ya kuzaa na kuoa mwanamke. Unaweza juta maamuzi yako ya zamani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom