sahihi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

    Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na...
  2. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete hastahili kuwa kiongozi?

    Habari za mihangaiko wanabodi. Wiki iliyopita mheshimiwa Rais alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo katika uteuzi huo tumeona watu mbalimbali wakitenguliwa na wengine wakipewa nafasi lakini kubwa kuliko lililozua mjadala ni swala la uteuzi wa Ridhiwani kikwete ambaye amepata...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Haikuwa sahihi kwa Rais kutaja hadharani sababu ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa. Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

    Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai. Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee? KIMSINGI kilichosambaa mtandaoni siyo barua bali ni TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ambayo ni sawasawa...
  5. JamiiForums Tanzania Japokuwa simkubali Ndugai, lakini katika hili ameonewa na kudhalilishwa isivyo sahihi na Rais

    Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima. Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ni washauri sahihi wa serikali, walimshauri Rais avunje baraza tukawapinga; naamini wanatonywa mengi

    Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani wanataka kumtisha Mhe. Rais akose utulivu Wakasambaza taarifa za sukuma Gang nikaona wanaanza...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

    Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka. Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkamata ugoni dada yako?

    Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni? Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
  11. JamiiForums Tanzania Yule Mama akaniambia; umekosea kuwahi kuoa. Je, yuko sahihi?

    Kwema Wakuu! Kama mada isemavyo! Juzi nimeenda kununua Dawa Kama mnavyojua jijini DSM kuna vihoma mshenzi vinavyoendelea. Nilipofika Duka la Dawa nikapokelewa na Mama mmoja mtu mzima, ni Daktari. Akanikaribisha Kwa bashasha zote. Huku akinambia ananionaga na Mdada mmoja, akaniuliza ni mke...
  12. JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Ikulu vinakera

    Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa ratiba hii, CHADEMA wako sahihi kutokushiriki

    Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio. Kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake. Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  16. JamiiForums Tanzania Nilimpinga Hayati Magufuli kwa mengi, ila kwenye COVID-19 labda alikuwa sahihi

    Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka yake vibaya na kuvunja sheria alizoapa kuzilinda. Lakini lilipokuja suala ya ugonjwa wa COVID-19...
  17. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kutumia neno COPYRIGHT kufananisha vitu viwili?

    Unakuta mtu anasema:" yani huyu mtoto kafanana na baba yake COPYRIGHT!" Hivi ni sahihi kweli kutumia neno hili kufananisha watu/vitu? Ukisoma maana yake ni tofauti na jinsi neno linavyotumika. Tusaidiane hapo je ni sahihi kutumia neno hili ama sivyo? kama sivyo tutumie neno lipi? Asante
  18. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  19. JamiiForums Tanzania Je niko sahihi? simu yangu haina Security Lock yoyote.

    Habari za muda huu Tech Gurus? natumia simu aina ya Camon 16. Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint. Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama? Je, siku ikipotea naweza kuipata?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwendeni zenu huko 'Wanafiki' wakubwa nyie, Dk. Kimei yuko sahihi tena 100%

    Kauli ya Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo inaonekana kuchafua hali ya hewa ambapo kikundi cha wazee kutoka jimboni humo kimejitokeza na kutoa tamko kali dhidi yake. Katika tamko hilo, wazee hao wa kichaga wamelaani kauli hiyo na kwamba wanachukulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…