safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Safari yangu na washikaji na raha ya mapenzi Tanga-Moshi-Arusha-Karatu. An amazing city-break travel experience.

    Wasalaam JF, Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally mmaghati. Sitaki kuwasemea wenzangu maana raha, utamu na ladha ni vya mlaji. Ila kwa hakika ukikutana na...
  2. JamiiForums Tanzania Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Teja wa Dawa za Kulevya Hadi Kupona

    Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL imeanza rasmi safari zake leo 7 Julai 2023

    Kampuni ya Ndege Air Tanzania (ATCL) leo imeanza safari yake ya kwanza ya ratiba ya kusafirisha mizigo kwa kutumia ndege yake ya mizigo Boeing 767-300F iliyowasili nchini mapema mwezi Juni 2023 ambapo mzigo wa leo unasafirishwa moja kwa moja kwenda Dubai kwa muda wa saa tano tu. Mkurugenzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

    Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah. Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah: Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini...
  5. F

    JamiiForums Tanzania LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana. Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya 1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

    Mimi huwa sipendi kukaa na abiria anayesinzia na kunilalia begani. Wewe huwa hupendi jambo gani?
  8. JamiiForums Tanzania Huku waliokufa kwa Uzembe Wao wakiwa hata bado hawajazikwa, Kampuni yatangaza tena Safari kwa wanaotaka Kufa kule kule kwa mwaka 2024

    Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic. Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

    Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic. Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
  10. JamiiForums Tanzania Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  12. JamiiForums Tanzania Mbele kwa mbele Wagner waanza safari ya Moscow huku wakishambuliwa kutoka angani

    Ukilea jini kubali iko siku litakugeukia.....haya sasa Russia-Ukraine Live Updates, June 24, 2023: Mutinous Russian mercenary fighters barrelled towards Moscow after seizing a southern city overnight, with Russia’s military firing on them from the air. Facing the first serious challenge to his...
  13. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona Usajili wa maana Simba SC na safari hii hakyanani nitampiga Mtu

    Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC )...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mazuri ya Rais Samia tuyaseme kwa nguvu mabaya tumshauri taratibu safari ni ndefu sana

    Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee. Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

    Wadau, hizi bag nazikubali sana.. naona zitanitoa sana kwenye safari zangu za pale na kule.. So nahitaji kujua begi zake wakuu..
  16. JamiiForums Tanzania Safari za Reli ya SGR Dar Moro zanukia Kuanza Julai 2023

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR) ambayo yamewasili kutoka nchini Ujerumani tayari kwa kuanza majaribio mwezi ujao. Naibu Waziri Mhe...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge 30 wa Tanzania kwenda Dubai safari ya kimya kimya si kawaida

    Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko. ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30 DUBAI Jambo la kushangaza ni kuwa kamati ya Bunge wakitembelea miradi ndani ya Tanzania huwa...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa

    MAISHA NI SAFARI YA KUJITAFUTIA MAFANIKIO: NJIA ZA KUJIIMARISHA NA KUFANIKIWA Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Karibu katika Makala hii, ambayo itajadili kwa kina ujumbe wa "Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa". Katika makala hii, tutajadili umuhimu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako, Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio. Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Tamaa zilivyouponza mwili nikiwa Kigoma

    Kwa majina naitwa dasp. Nimezaliwa na kukulia mwanza na baadae kuelekea sehemu mbalimbali niki jitafutia elimu baadae ajira. Kabla na baada ya kuhitimu nilikuw nikijishughulisha na shughuli mbalimbali za kijasilia mali na Ajira za mikataba. nilibahatika kufanya kazi katika taasisi binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…