sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Biblia imesisitiza zaidi kwenye kusaidia zaidi wenye uhitaji na sio kumtajirisha mmiliki/mchungaji au nabii wa kanisa kwa kigezo cha zaka na sadaka.

    Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
  2. ARGAN MARA

    JamiiForums Tanzania Je unajua faida ya kutoa sadaka?

    Laiti mtoa sadaka angejua kwa yakini kwamba sadaka yake inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini, ingekuwa ladha ya mtoaji.. ni kubwa kuliko ladha ya mpokeaji.. -ibn alqayyim Je unajua faida ya kutoa sadaka? Sikilizeni enyi watoa sadaka, nyinyi na ambao...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwani, wachungaji wa sasa hawawezi kuhubiri au kumwombea mtu bila kumuomba Muumini Sadaka!? tena anakupangia kiasi cha kutoa.

    Hallo wana JF. Nimekuja na hoja binafsi, Kwanini sasa hivi kumeibuka wimbi la wanaojiita wachungaji, pale wanapofanya maombi either kwa njia ya hadhara au kwenye TV au Radio na mitandao ya Jamii, hutanguliza mbele Sadaka ili waweze kukuombea matatizo yako!? Naomba nitoe mfano ili niweze...
  4. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo...
  5. Gidabed

    JamiiForums Tanzania Kwanini tutoe sadaka na matoleo kanisani badala ya kuwalenga wahitaji moja kwa moja?

    Wakuu natumai mko salama. Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara bila majibu. ~Hivi hizi sadaka tunazochangia kila jumapili na wakati mwingine katikati ya juma zinaendaga wapi? I mean zinamsaidia nani hasahasa,kwa sababu kama zinasaidia wahitaji, nani mwenye ushuhuda ambaye ameona...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mihayo Akabidhi Sadaka ya Vyakula kwa Wananchi Zaidi ya 300 Jimboni Mwera

    MBUNGE MIHAYO AKABIDHI SADAKA YA VYAKULA KWA WANANCHI ZAIDI YA 300 JIMBONI MWERA Mwakilishi Jimbo la Mwera Mheshimiwa Mihayo Juma N’Hunga amekabidhi bidhaa za vyakula na fedha taslim kwa familia Mia tatu katika Jimbo hilo ili kujiandaa na Sikukuu ya Eid Al Fitri Mheshimiwa Nhunga amesea utoaji...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi akabidhi sadaka ya futari kwa makundi maalum

    Mke wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi leo tarehe 18 Machi, 2024 amekabidhi Sadaka ya futari kwa makundi maalum wakiwemo watoto Yatima, Wazee. Sadaka hiyo imegaiwa na Naibu Waziri wa Maendeleo...
  8. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

    Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena. Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
  10. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Sadaka ni nini?

    Je, sadaka ni zile hela tunatoa kanisani au hata ukisaidia mhitaji nayo ni sadaka?
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

    Nimekaa coco beach naangalia jinsi meli kubwa kubwa za mizigo zikikaa hapo takribani week 2 zikipanga foleni nimejikuta natafakari vitu vingi sana. Gwajima Mtumishi wa Mungu, mchungaji mkubwa ambaye anamiliki pesa nyingi sana pamoja na ndege binafsi( kwa mujibu wake). Machozi yamenifika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Sadaka itakayokuokoa siku ya Tabu

    Salaam, Shalom! INTRODUCTON. Mungu ameweka sadaka kuwa kitu kinachoendeleza kipato Cha mtoaji maisha yake yote. (Luke 6:38) Yesu asema, wapeni watu vitu,nanyi mtapewa, kipimo Cha kujaa, na kushindiliwa, na kusukwasukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo...
  13. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea shutuma mbalimbali kutoka kwa wananchi kwamba amekuwa akiwakamua waumini hela zote hadi wanakosa...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada

    Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini, kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na wahubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia. Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka...
  15. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Ni halali kutoa sadaka kwa hela za kubet?

    Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ukipata ofa ya namna hii nenda katoe sadaka kanisani. Ni marufuku kuitumia

    Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka. Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana. Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuilinda sadaka yako kama Abram alivyozilinda zake

    Mwanzo 15, Ibrahim alielekezwa na Mungu atoe sadaka ili apate kuhakikishiwa hatma ya maisha yake. Aliziandaa akazilinda hadi jioni tai na mbwa mwitu wasije wakazitafuna. Alifanikiwa hadi jioni mpaka zilipoleta matokeo. Watu wengi hawanufaiki na sadaka zao kwa sababu hawazilindi. Wanatoa kama...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

    Hi! Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu. Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani. Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka...
Back
Top Bottom