Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 6,545
- 11,095
Je, sadaka ni zile hela tunatoa kanisani au hata ukisaidia mhitaji nayo ni sadaka?
Kinachotoka moyoni ndio sadakaJe sadaka ni zile hela tunatoa kanisani au hata ukisaidia mhitaji nayo ni sadaka