sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa mwambieni Diamond Platnumz anamtafuta ampe sadaka yake

    Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya starehe. Diamond Platnumz ameona simulizi yake mtandaon, imemgusa na ameamua kumshika mkono. Hivyo...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukistastaajabu ya mafuta na maji ya upako hapa bongo. Pasta Ng'ang'a atupa sadaka za waumini kisa ndogo

    Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada. Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kuhani astahili pewa mkono, mashavu mawili na utumbo kwa kila sadaka ya ng' ombe inayoletwa madhabahu ya Bwana , tusiwaseme vibaya watumishi wa Bwana

    Wadau hamjamboni nyote? Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo hapo juu kuhani atastahili kupata asilimia ngapi ya sadaka Niwatakie sabato njema 1 Makuhani...
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mshahara wa kwanza kutolea sadaka ya malimbuko

    Unapokua katika msoto wa kutafuta kazi kiutaratibu wa matoleo unapaswa kuupeleka mshahara wote baada ya malipo yako ya kwanza kama malimbuko kanisani. Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya kutimuliwa kazi, afya, figisu, nk. Karibuni kwa wale wakuongeza nk. Hii ni kwa watu wote hata uwe nani.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Kutoa Sadaka

    Sababu za Kutoa Sadaka Sadaka ni Nini Moja ya nguzo muhimu sana katika imani ya Kikristo ni sadaka, Sadaka ni nguzo muhimu sana, kwa sababu hata Kristo mwenyewe alifanyika sadaka kwa ajili yetu ili sisi tuokolewe. Kama Kristo asingejitoa nafsi yake kwa ajili yetu sisi, tusingekuwa popote...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aunt Sadaka: Mtoto akichora chora friji muache, anathubutu!

    Kumekucha wadau! Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo. Aliweza kuzungumza kwa kina kuhusu jinsi wazazi au walezi wanavyopaswa kuwaachia watoto wao nafasi ya...
  9. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

    Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yaani sikuhizi mahubiri kila kutoa na majanga ya kutotoa sadaka..

    Mpaka rahaa wataelewa tu Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo ndioo balaa wanatishiwa kabjsaa wasipotoa madhara yake..... Tusiache kutoa sadaka jaman wahubiri...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Haujakombolewa kwa vitu vinavyoharibika...umekombolewa kwa damu ya Yesu..hakuna sadaka ya ukombozi n ramli...

    Yajuaee maandiko yatajuweka huru Hata siku moja uongo auwezi kuuzidi ukweliui Tumekombokewa kwa Damu ya Yesu tu Hatujakombokewa na vitu vinavyoharibika Usidanganywe na sadaka ya ukombozi hioo n ramli Kaaa kwenye mafundisho ya kwelii ya kukusaidia kumjua Mungu unaemwamini n nani
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa watoa sadaka tu: Sadaka ya vitu Ina nguvu kubwa kuliko cash au sadaka za miamala

    Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu. Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo. Ukifuatilia historian ya utoaji sadaka sadaka inayozolewa moja kwa moja kama vitu au huduma...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya mbwa, yenye laana, iliyobeba uharibifu, HAIPOKELEWI ng'o!!

    Salaam, Shalom!!! Kuna wajinga wengi wanaodhani kuwa watumishi wa Mungu na Mungu mkuu kuwa Wana njaa na kudhani kuwa wapo Ili kukusanya sadaka Ili kujiongezea ukwasi, Usilolijua ni kuwa, SADAKA HUKATALIWA, Fuatana nami. 1. Nabii Elisha, anakataa vitofali sitini vya Dhahabu alivyoleta Naamani...
  14. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Na hizi ndio sadaka zetu za siku ya leo..!!!

    INTRODUCTION: Ndugu moderators naomba uzi huu usipelekwe kwenye Forum ya Dini. Natumaini nimeeleweka. SCENARIO: Mistari ya Machungaji/Padre kwenye ibada/misa moja ... 1. Tutaanza na sadaka ya ujenzi wa kanisa ..... 2. Jamani kanisa linampango wa kutembelea wajane na mayatima, tafadhali tutoa...
  15. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Unatoa sadaka lakini haufanikiwi jibu hili hapa

    Habari zenu wapendwa Kumekuwa na mahubiri mengi kwa sasa kuhusu utoaji huko makanisa ata yale makanisa yanaendeshwa kitaasisi lakini nayo mahubiri yao kwa sasa yamehamia zaidi utoaji wa sadaka. Swali Je ? kuna tatizo kuwa wingi wa mahubiri haya makanisani Jibu ni hapana! Hakuna shida kanisa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee, ikiwa yeye ndie Mungu Sadaka aliitoa kwa nani?

    Habari wadau Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee. Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu? halafu Mungu anatoa sadaka ili apate nini?
  17. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya wazazi nani kama mama

    Wakati Jude Bellingham aliposaini Borussia Dortmund, wazazi wake waliamua "kugawanyika" kusaidia wana wao wawili. Mark baba alibaki na Jobe mchezaji wa sasa wa Sunderland na Denisse mama aliondoka na Jude. denisse sio tu anashughulikia sura ya Jude, lakini anaishi naye, anaendelea kutazama...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

    Wanabodi, Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja. Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia TBC, kutoka Msikiti wa Mfalme Mohammed VI wa Morroco, Bwakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam...
  19. co fm

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na wachungaji wanaotoa shuhuda za waumini

    Habari za humu wanajamii, Ni kwa muda sasa huwa ninamfuatilia huyu mchungaji wa KKKT ushirika wa Kijitonyama Mchungaji Kimaro,hadi kuna muda niliwahi kushawishika kwenda kanisani kwake. Sasa katika kufatilia hayo mahubiri yake sasa sijui ni shetan au ni kawaida, ninaanza kuona kama tunapigwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Biblia imesisitiza zaidi kwenye kusaidia zaidi wenye uhitaji na sio kumtajirisha mmiliki/mchungaji au nabii wa kanisa kwa kigezo cha zaka na sadaka.

    Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
Back
Top Bottom