sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mwamposa apelekewa sadaka na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hapo vip! Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, jana ameshiriki ibada kwa Mtume Mwamposa. Nimemsikia akisema Rais amempa sadaka ampelekea Mwamposa, akamkabidhi bahasha mtumishi wa Mungu, akaongea ongea hapo vitu ambavyo havieleweki. Mwamposa nakushauri hiyo pesa itakase nahisi itakuwa ni mgawo...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sitoi sadaka katika mazingira haya

    Hello! Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu. Sitoi na sitatoa sadaka ●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti. ●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

    Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana. Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke amejitoa sadaka kisa mumewe apate kazi

    Hellow Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless Tupokigwe aliona...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kubarikiwa kwa kutoa sadaka kubwa kubwa kanisani?

    Nimekulia kwenye familia ya KKIKRISTO made hebu ya Kilutheli, na Sunday School na Kipaimara nilikuwa mwanafunzi bora kabisa nikiwa nimekariri vifungu vingi sana vya Biblia. Baada ya kuhitimu kidato cha sita, nilipata daraja la tatu, nikaona niingie mazima kwenye biashara maana hamna tena namna...
  8. system hacker

    JamiiForums Tanzania Nywele ndefu zinazovaliwa na wanawake weusi zilitolewa sadaka kwa miungu huko nchini India

    Kazi kwenu warembo wetu. https://indianhair.net/blogs/journal/real-indian-temple-hair-all-you-want-to-know
  9. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

    Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao. Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Moshi: Padri wa Kanisa Katoliki alaani walioiba sadaka kanisani

    Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani. Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Kuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana. Mimi naiangalia mara mbilimbili siamini macho yangu. Nimeamua kupost hapa ili wataalamu wa Video wasaidie kudadavua. Je, huyu Kadokoa sadaka? Kama kadokoa sadaka, karma itamuacha...
  12. Rabonn

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hili la kutoa sadaka makanisani ni vyema kila mtu akaachwa ashinde mechi zake

    Habari za mchana huu wadau. Natumain mko salama na mnaendelea kulijenga taifa letu Tanzania kwa moyo mmoja. Niiingie kwenye Mada. Huu ni ushuhuda wangu binafsi kuhusu jambo ambao wana JF wengi humu hulitolea mapovu sana..KUTOA SADAKA YA ZAKA Declaration of interest ni kwamba, binafsi nimekua...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waumini wa KKKT Kijitonyama waanza kuulizwa namba za Bahasha za Sadaka mlangoni

    Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama Dk Eliona Kimaro kupewa likizo, ibada ya asubuhi (Morning glory) imefanyika huku idadi ya waumini ikiwa ndogo tofauti na ilivyozoeleka. Licha ya uchache huo wa waumini pia baadhi ya viongozi...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Usitoe sadaka, umeshatoa

    Mungu wetu alishatuumba, akawakabidhi wazazi wako wakamilishe mchakato uliobakia wa kukuzaa, kukulisha, kukuvalisha na kukutunza kwa muda fulani kabla na wewe hujaanza kujitunza na kuzaa watoto wengine. Kama ni sadaka mpe mzazi wako anaeweza kuitumia hiyo sadaka sio Mungu, kwakuwa Mungu hana...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hizi sadaka ambazo wahubiri wakristo wanazipigia debe mpaka mapovu yanawatoka ni kwa sababu zinaingia mifukoni mwao?

    Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuna Mungu anayebariki kulingana na ukubwa wa sadaka ya mtu?

    Hellow guys, Mimi nataomba kujua kuna Mungu ambaye ana bariki kulingana na sadaka yako ulio toa yaani kama umetoa kanisani 1000 unabarikiwa kidogo lakini kama umetoa 7000 unabarikiwa zaidi ya yule alie toa kidogo Kuna kanisa moja niliendaga ni maarufu sana hapa DSM nikasikia mchungaji anatoa...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

    Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu. Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake...
  18. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Usiende kanisani bila sadaka hata kama unamashaka, usiile tafuta pa kuipeleka

    Hata kama ni tsh 50 sadaka inanguvu kuliko maneno. Kutoa sadaka ni kitendo, maombezi ni maneno. Imani bila matendo imekufa Faida za kutoa sadaka. 1: Utapokea. Maana vya Mungu tunavipata Kwa kutoa. 2: Ulinzi Kwa familia hasa watoto. Ayubu alitolea watoto Sadaka. Hata walipokufa, Mungu alimpa...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

    Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa. Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada. Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msingi mkubwa wa makanisa ya kilokole ya zamani ni kujitenga na uzinzi na ulevi. Sasa hivi msingi mkubwa ni kutoa sadaka

    Habari! Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone. Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
Back
Top Bottom