Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة, Urdu: صدقہ, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".
Salaam!
Walipofunga utepe kanisa la Ufufuo na uzima,palikuwa na sadaka kwenye kapu, palikuwa na mali mbalimbali,walipovamia na kutawanya watu Kisha kuweka utepe, kulikuwa shwari kabisa.
Kinachochanganya Hadi sasa,haijulikani kapu la sadaka walipeleka wapi Hadi Leo, Pana upotevu mkubwa wa mali...
Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya vijana kuwa jeshi litakuwa nao bega kwa bega huku wakijua kuwa wanawalaghai vijana.
Vijana walikufa...
Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY
ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe.
yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka
Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani aende kanisani.
Mchungaji akimshauri kitu, hawezi kusikiliza ushauri wako
u
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"
"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
Habari wanandoa!
Sina maelezo mengi, kichwa cha habari kinajieleza.
Kwa kuwa uelewa wangu si mpana kwenye mambo ya kodi hapa Tanzania, ningependa kujua kama B 100 za harambee ya CCM kodi itakatwa, au ni kama sadaka?
Majeshi majeshi!
VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU!
Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza)
Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata!
Muda wa...
Kama kichwa Cha habari kinavyosema ndugu wapendwa,nipende kusisitiza, nyakati kama hizi wanasiasa wengi wanashinda kwa waganga wakitoa Kila aina ya kafara, wanachinja ili kuteka utashi wako kwa Kila namna, wanajua unapozungumzia energy,chanzo chake ni utashi, hivo wanaenda huko ,wanaomba kwa...
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA
Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa
Waheshimiwa viongozi wa dini,
Kwa heshima kubwa na moyo mzito, nawaandikia barua hii nikiwa kama raia wa Tanzania, muumini, na mtumishi wa umma wa watu. Nawasimamia...
KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
Ndugu Wakristo wenzangu, kesho ni siku ya Dominika, hivyo nawakumbusha kuandaa sadaka mbili. Moja ni sadaka ya KANISANI na nyingine ni sadaka ya UKOMBOZI wa Nchi yetu.
Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu iingizwe kwenye Account ya chama cha siasa kilichosimama imara bila kuyumbishwa kupigania...
TUJENGE HOJA HAPA
Kwenye harakati za kisiasa inaelezwa kuwa kadri harakati zinavyopamba moto ndivyo wanaharakati hupitia wakati mgumu ikiwemo kuwekwa kizuizini wakati mwingine hata kupoteza maisha kwa sababu hakuna dora inayokubali mageuzi kwa wepesi pasipo kuyalinda kwanza.
Zimbabwe...
Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana
Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
Nikitumia mfano wa DALLE, kiujumla lifestlye yake tunaongelea mabilioni ya pesa, ila sasa ni kwel ni izi jero jero za wananchi mpaka billion ama kuna mengine
https://www.tiktok.com/@kings_hot_riders/video/7418271723461676294
Hello!
Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa?
Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa!
Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni?
Haya!
Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika muktadha wa Tanzania, chama cha upinzani CHADEMA kimekuwa mstari wa mbele katika kupigania...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
Kuna watu wanatoa zaka/sadaka kila mara makanisani, kwenye mikutano, kwa maskini, lakini hawaoni Mungu akiwamwagia baraka nyingi katika maisha yao, kama alivyoahidi katika Malaki 3:10, kwamba ukitoa atakumwagia baraka zake hata ukose nafasi ya kuziweka. Tatizo ni nini?
Kama hujaona baraka tele...
Katika hatua dunia ipofikia sasa, Teknolojia inazidi kukimbiza kila sekta ya Dunia... mababu waliofakiriki kipindi cha utumwa wakifufuka Leo wanaweza kupigwa na butwaaa na kuacha vinywa wazi kama sisi tutakapo pigwa butwaa endapo tukifufuka mwaka 3025, yani miaka elfu 1000 toka sasa kwa jinsi...
Kabla sijafa masikini wana jf mnipe muongozo hilo ndo ombi langu kwenu
Ninashida kubwa sana kwenye upande wautafutaji wangu. Kila nachofanya hakiendi mambo yamekua magumu sana. Najua huenda kuna watu wanashapitia hali kama na wakapata muongozo mambo yakakaa sawa
ww kama mtu mzima naamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.