The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili
Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii.
Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!.
Watia Nia...
Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati
Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi
Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa...
MIMI NIMETANGAZA NIA YA KUWA RAIS WA TANZANIA NI UKWELI WATU WANAHAKI YA KUNIPINGA ILA NASHANGAA SANA WATU HAO HAO UNAWAKUTA WANALALAMIKA KWENYE NYUZI NYINGINE
Kuna watu kibao hawamsupport Rais Samia na ccm cha ajabu wanakuambia makonda anafaa, wengine dotto biteko, wengine makamba, wengine...
Ikiwa ni kweli wewe 👇
•Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la taifa ni T 107.7 na bado ni stahimilivu.
•Umeleta 4R na umezitekeleza Kwa vitendo ukishirikiana na...
https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f
Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu....
Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
afrika
afrika mashariki
ccm
chadema
ethiopia
mashariki
mkutano
mkuu
mpango
saba
sababusababu za
sababu za kiusalama
siri
slaa
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
wagombea
wanasheria
zanzibar
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?
Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri...
Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014.
Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere.
Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet.
Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.
2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).
Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu
Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo.
1. Kuonyesha msimamo wao.
Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha kutoka 15 June. Kucheza itaonyesha hawana msimamo
2. Simba wakikubali kucheza itaonyesha wamefuata...
Siku tatu zilizopita ilionekana kwamba US angeingia vitani, ila kwa hali ilivo sasa hiyo option inaenda ikipotea. Atachofanya US kuipa silaha Israel lakini sio direct involvement.
Kuna jambo limemuogopesha US kuingia kichwa kichwa, na hapo ni baada ya Iran kupiga Hypersonic bomb na pia...
Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni:
1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka.
– Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu yanayohusu viongozi, taasisi au makundi yenye nguvu.
– Hii huonekana kama tishio kwa mfumo uliopo.
2...
Wakuu
Kwa kilichotokea leo kati ya Luhaga mpina Mbunge wa Kisesa na Rais Samia ni dhahiri kuwa Rais pia anayafurahia mapambio anayoimbiwa.
Mapambio kama vile "mama ametekeleza" "mama hatumdai" nk. Leo Rais anampangia mbunge kwamba ulipaswa kusema hiki kimejengwa kile kimeboreshwa nk.
Kwa hiki...
Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu:
1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa
Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia.
Ukweli...
Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
Rejea somo hapo juu! Watu wa Mungu tusameheane!
Ee bana jana nimeenda kwenye madangulo fulani hivi yameezekwa kwa makuti na bati. Nikazikuta nyingi nikaita moja ikaja. Ikalala lakin mmmmmh harufu kali sana. Mashine ikalala kabisa. Nikanyanyuka nikamwambia nahisi njaa naomba nikale kwanza...
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana.
Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
Ni jambo la kusikitisha sana na la kugusa moyo namna wanaume wengi wanavyobeba maisha kama mzigo mzito usioonekana — mzigo wa kutegemewa, mzigo wa ukimya, na mzigo wa kutokueleweka.
Mwanaume anaamka asubuhi mapema, mara nyingine hata kabla ya jua kuchomoza, anaenda kazini au kwenye mihangaiko...
Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta
Israel haikushindwa wapata mateka.sema imewatoka kafara ili sasa ipatikane sababu ya kuichakaza Gaza,Hamas na Hirzibollah. Na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.