sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Sababu za Chadema kushindwa kuenea zanzibar miaka zaidi 30

    Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar? Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
  2. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Usipojua kutafuta, utatafuta sababu ya kutokutafuta

    #Porojozabongo "Usipojua kutafuta, utatafuta sababu ya kutokutafuta." "Unaelewa hiyo methali?" anauliza bongo, akiinamisha kichwa katika draft "Bado naitafakari," akajibu mgogo, akimtazama bongo "Hii ni porojo za bongo kaka," Bongo akaendelea, "Ina maana, ukikaa tu bila juhudi, mwisho...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili baba lina miaka 43, halijaoa na halina mtoto. Ila lina sababu ya msingi japo haina mantiki

    Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭 Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini! Kuna kipindi alifikia akasema hata mapenzi aache kufanya kabisa maskini, akiamini nguvu za kufanyia...
  7. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Sababu inayotufanya tuendelee kuwa wajinga

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sababu yenyewe ni kutokubali kukosolewa. kukosolewa ni kuoneshwa makosa unayoyafanya yaani kuoneshwa mapungufu yako. Watu wengi hawapendi kuoneshwa mapungufu yao ila ni rahisi sana wao kutambua mapungufu ya wengine lakini ya kwao...
  8. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hodi hodi Mwanza: Zijue sababu za kiroho kwanini Likud anaenda Mwanza tarehe 19 May na kurudi Dar tarehe 23 May

    Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day) How did I know that about Mwanzanian women...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

    Yanga ndo Giant football in Tanzania Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

    "Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi. Hawa...
  14. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

    Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z. Gen Z hawanaga mambo ya dini. Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu. Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa tisini mwanzoni na kaka zetu wa sabini ndio tulikuwa na ujinga ujinga wa kufuata mambo ya dini kwa...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuadimika kwa Petroli mkoani Kilimnjaro?

    Lao jioni nimepita kwenye vituo vinne vya mafuta Ili kuongeza petroli kwenye gari langu bila mafanikio! Kila kituo nilichopita wamedai hakuna mafuta. Je inawezekana kuna uhaba wa mafuta ya magari nchini au ni ujanja ujanja wa wenye vituo kuficha mafuta wakisubiri bei kupanda?
  19. Brother Hassan

    JamiiForums Tanzania Sababu 6 zinazopelekea kuwa na fikra (Mtwazom)mgando

    Kama kuna mambo yana ludiaha nyuma maendeleo ya vijana wengi kwa sasa ni pamoja na umasikini wa kuwa na fikra tanduzi. Na hapa kuna sababu sita zinazo sababisha vijana kujikuta katika hili janga la kuwa na fikra mgando katika jami unaweza kuyaepuka kwa kuzijua sababubu zake. Mjadala huru
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je watendaji wetu wanapofanya kitu ni kwa sababu ya rais, serikali au taifa?

    Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa? Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya hisani, mapenzi, au utashi wa rais au matakwa ya sheria za nchi? Je rais wetu ni sheria na yuko juu ya...
Back
Top Bottom