The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Wakati vuguvugu la mchujo wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kupamba moto, mgombea ubunge wa Jimbo la Sikonge, amejikuta katika hali ngumu baada ya kufichuliwa kwa tuhuma nzito kuhusu mienendo yake, zilizotolewa na watu wa karibu.
Akizungumza na mwandishi wetu, mmoja wa...
Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki dunia kwa madai kuwa amejinyonga kwa kamba muda mfupi baada ya mwalimu wake katika shule hiyo...
###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE###
Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021
Kwanin ilikuwa UDSM...
Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata?
Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni...
Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake.
Ukiangalia maduka mengi ya...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa ajali ya treni ya Mjini kwenda Pugu, iliyotokea Stesheni ya KAMATA kwenye makutano ya reli na Barabara ya Kawawa, jana Mei 13, 2025 imejeruhi Watu 10
TRC imesema ajali hiyo iliyohusisha mabehewa 12 yaliyobeba abiria takribani 1,200 na kuwa...
Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na mitandao ya kijamii.
Katika hotuba yake katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE) Jumatano, Ruto alihoji sababu za wito wa kuondoka kwake mapema, akisema viongozi...
Leo nimeona niiongelee kidogo timu yangu ya zamani, Simba SC.
Kwa hizi sajili, acha, sajili zinazofanyika kila msimu inaonyesha wazi Simba imepoteza kabisa kujiamini. Viongozi hawajui Simba inataka nini hasa na badala yake wanasajili na kuacha wachezaji tu ili waonekane wamefanya. Wachezaji...
Ni metumia neno teknolojia ila nitabeba mambo mengi ambayo ndio yameleta maendeleo nchi nyingi.Ukiangalia kila siku simu yako janja apps zake au firmware zinaomba update kila siku sababu ya kurekebisha makosa ili uweze kutumia.
Kwa mfano huu kama zingekuwa ndio afrika hakuna kitakachofanyika...
Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini.
Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa,
Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema
Pili Mbona wote ni wa Chadema...
Habari tena!
Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN.
SABABU!
Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya...
Hapo vip!!
Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa.
Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka...
Mtangazaji wa runinga, mwandishi na muigizaji kutoka marekani Ellen Degeneres ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka alipoamia nchini uingereza, ameamua kuishi nchini uingereza mara baada ya raisi Donald Trump kuchaguliwa tena kuwa raisi.
Mtangazaji huyo ameiambia hadhira huko Cheltenham...
Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa sababu kuu ni haya maeneo matatu
1: HUTOI FUNGU LA KUMI ( 10% OF YOUR BASIC SALARY) : maisha yapo...
Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia...
Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi.
Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo Malindi kituo cha polisi kuendea Bwawani ambayo ni kero kubwa kwa sisi wakaazi wa hapa kwani ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.