sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sababu inayofanya wanawake wasikupende

    https://youtu.be/FvGS_o-ERdw?si=s75p6yIZTv9iyq2X Huu ni ukweli mchungu
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO YA BARABARA: SMZ NA WIZARA HUSIKA, NI SABABU IPI INAYOFANYA BARABARA YA BWAWANI MALINDI ZANZIBAR ISITIWE LAMI!!!

    Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi. Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo Malindi kituo cha polisi kuendea Bwawani ambayo ni kero kubwa kwa sisi wakaazi wa hapa kwani ina...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi sikuhizi hawauzi vitu baada ya kuhitimu, ni dalili ya maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Hapo kabla ilishazoeleka, wanachuo wakihitimu vyuo wanauza vitu kwa bei za kutupa mfano pasi, laptop, kitanda, godoro, mitungi ya gesi, n.k. Leo hii nikiwa naongea na moja ya rafiki yangu ambae ni dalali, yeye huwa anaanda hata milioni 3 kununua vitu aje kuwauzia wanachuo wapya, kalalamika...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

    Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
  5. JamiiForums Tanzania Rais museven huwa anatafuta sababu yaani umcheke akufunge

  6. JamiiForums Tanzania Watu wa karibu wasimulia chanzo cha kifo cha Daktari Magreth huko Kilimanjaro

    Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia. Kwa kifupi iko hivi , Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote. Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara kadhaa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deus Kibamba: Unono na mfumo wa sheria/katiba ni sababu inayowavutia wengi kuwania ubunge

    Wakuu Kumekuwepo maswali mengi kuhusu wingi wa waliojitikeza kuchukua fomu za kutia nia na ubunge na udiwani, kupitia Kipindi cha Mada Kuu - TBC kilichofanyika Julai 10, 2025 Mchambuzi wa Masuala ya Siasa, Deus Kibamba alieleza badhi ya sababu zinazowavutia wengi kuwania nafasi ya Ubunge nchini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ukienda TANZLII, hakuna hukumu toka case za Court of Appeal zilizoamriwa huko kwa miaka mingi. Sababu ni nini?

    Najua Mahakama ya Rudfani ni maoja ya mambo ya Muungano. Sasa mbona TANZLII hakuna jugments kutoak Court of Appeal?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tulishasema kwamba Tanganyika aikumwaga damu kupata uhuru wake, ila hiyo sio sababu kwamba watanganyika hawawezi kuipigania nchi Yao. Kiko wapi Sasa!!

    Kiko wapi Sasa!!? Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!? Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa taarabu inaandaliwa kuja kumpasha mkimbizi wa nguo) Sasa ataendelea kutoa mipasho au kuua watanganyika...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Mwanamapinduzi: Kanisa la KKAM tulipokuwa tukisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara

    Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa wakisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara. Waumini wa Ufufuo na Uzima walikiwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu: Kama kweli Polepole kajiuzulu , sababu ni hii: FOMU MOJA YA URAIS NDANI YA CCM

    Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa. Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE RAIS, HALIJAFURAHI NA FOMU MOJA. ANGLE YAO ILIKUWA KWENYE KURA ZA KUMTAFUTA RAIS! SASA KAWAZIBA! Mods...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shimo kubwa barabara ya Mwembe Yanga linahatarisha usalama wa watumia barabara

    Salam Wadau! Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nitailinda Kura yangu kwa wivu mkubwa, nitahakikisha haiibiwi kwa kwa sababu sitopiga kura!

    CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi, upatikanaji wa tume huru ukiwa chini ya sheria zisizoegemea upande wowote, ili mimi mpiga kura, ninapohitaji...
  14. JamiiForums Tanzania Makosa 13 Yanayowafanya Wateja Wasinunue Hata Wakikufuata

    Makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi bila kujua, na namna bora ya kuyaepuka. Lengo letu ni kuhakikisha unapofikia hatua ya kumaliza mazungumzo na mteja, hauachi pesa mezani. 1. Kumlazimisha mteja kununua Hakuna mteja anayetaka kushinikizwa. Watu hununua kwa sababu wanataka, si kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wateja wanakuja Dukani/DM lakini hawanunui? Hii ndo sababu

    Wateja wanaingia dukani kwako kila siku, wanakuja dm whatsapp, wanauliza bei, lakini mwisho wa siku, hakuna mauzo yanayofanyika! Kama wewe ni mfanyabiashara wa duka la nguo na unakutana na hali hii mara kwa mara, basi video hii ni kwa ajili yako. Leo nitakuonyesha sababu kubwa zinazowafanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazowafanya wanyama wa kike kushindwa kutoa maziwa pindi wakiwa wamezaa

    --- 🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI 🍼 Sababu za Msingi Zinazomfanya wanyama Jike Kushindwa Kutoa Maziwa + Suluhisho Kamili --- 🔍 Tatizo ni nini? Nguruwe jike asipotoa maziwa, watoto hukosa lishe ya awali (colostrum) muhimu kwa kinga na ukuaji. Hali hii huathiri uzalishaji na afya ya watoto, hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Sababu iliyotolewa na Quran kuhusu Allah kutokuwa na mwana unailewa?

    Ukiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo? Quran inajibu, 6:101 Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke? Quran...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru watajwa kuwa sababu kusitishwa operesheni C4C CHAUMMA

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema ratiba ya Mwenge wa Uhuru mkoani Tanga ndio ilikuwa sababu ya kuzitisha ziara yao ya Operesheni C4C iliyopangwa kufanyika katika mikoa yote nchini kwa siku 16. Itakumbukwa Mei 21, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wallace Karia Hastahili Kuwa Rais wa TFF?!, hizi hapa Sababu kuu

    Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Tumefurahi watu wametumiss. Waeleza sababu za kujipa mapumziko

    Wakuu Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu. "Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…