Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 10,736
- 34,101
Unaweza kutana na mtu kwa mara ya kwanza unashangaa hakupendi au kutokukubali tu. Hujamuumiza, hujamfanyia chochote kibaya.
Wala sio issue ya first impression wala sio instinct, ila unakuta mtu ana kirusi cha kinyongo ndani yake, kila kitu kuhusu wewe kinamuumiza na ku-trigger ubinafsi wake (EGO).
Ukisharuhusu ukata wako ulio physical uingie hadi kichwani mwako basi utakuwa mtu wa kinyongo sana kwa watu wengine walio piga hata hatua moja zaidi yako.
Usimuulumie masikini kirahi rahisi hivyo, wewe unawaza kumuonea huruma yeye anawaza namna ya kufanya kukurudisha nyuma.