Sina amani ya maisha sababu ya aibu ya pombe

Lakikunene

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
129
Reaction score
145
Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe
Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi

Je nitafanyaje kuondoa hali hii hasa kwenye jamii na wafanyakazi wenzangu

Nb.Pombe nimeacha kabisa nakuamua kumrudia Mungu
 
Hakikisha unasimama katika Hilo la kuacha pombe,zingatia sana maisha yako wewe kama wewe,usihali watu wanakuchukuliaje!,Usipokuwa makini Kwa kuwajali utanikuta unarudia kwenye pombe!I was a heavy drunker!But Kwa uwezo wa Mungu nimeacha!Na sijali ya watu,nakuwa positive kwenye maisha yangu
 
Ahsante mkuu Naomba namba zako kama hutojali tuwasiliane pia hata kwa ushauri
 
Maadam umeamua kuacha basi kaza hivyo hivyo baada ya mda yote hayo yataisha lkn unakosea unapohisi watu wakiongea wanakusema wewe, achana na hiyo dhana maana itakusumbua bila sababu za msingi.

Lkn pia kuondoa hiyo dhana kwa haraka jiepushe kukaa bar na makundi ambayo ulikuwa unakunywa nayo.
 
Acha ujinga. Wewe ulikuja duniani kwa ajili ya watu?. Wewe ulikuja duniani na watu. Wewe angalia maisha yako. Wewe kuwa huru tu. Kama umeamua kuacha,ishi kiupya kama ulivyoona ni sawa. Binadamu sasa hivi watasahau wataona mapya tu unayoyafanya sasa. Usijali kabisa kuhusiana na ya zamani
 
Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe
Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi

Je nitafanyaje kuondoa hali hii hasa kwenye jamii na wafanyakazi wenzangu

Nb.Pombe nimeacha kabisa nakuamua kumrudia Mungu
Lakikunene ushatoka Yerusalem
 
Kama umepanga hapo hama kabisa, kapange sehemu nyingine! Khs kazn badilika tu jumla kuanzia muonekano , uchapa kaz, kuwahi kazn, kumaliza rtb zako on time,,,, ! Pia badili aina ya marsfiki job, dili sana na mambo yako ,,, watakuja kugundua huyu mtu kabadilika,,,, !
 
Acha ujinga. Wewe ulikuja duniani kwa ajili ya watu?. Wewe ulikuja duniani na watu. Wewe angalia maisha yako. Wewe kuwa huru tu. Kama umeamua kuacha,ishi kiupya kama ulivyoona ni sawa. Binadamu sasa hivi watasahau wataona mapya tu unayoyafanya sasa. Usijali kabisa kuhusiana na ya zamani
Ahsante sana kwa ushauri
 
Kama umepanga hapo hama kabisa, kapange sehemu nyingine! Khs kazn badilika tu jumla kuanzia muonekano , uchapa kaz, kuwahi kazn, kumaliza rtb zako on time,,,, ! Pia badili aina ya marsfiki job, dili sana na mambo yako ,,, watakuja kugundua huyu mtu kabadilika,,,, !
Tatizo juzi tu nimelipia kodi miezi 3 nasijui nifanyaje
 
Mimi nilikuwa chapombe labda hata zaidi yako, addicted kabisa nilifanya uozo wa kila aina aibu za hovyoo, ila nilibadilika na kuacha pombe na kunyoosha maisha, kubali huko kusemwa kama mojawapo wa athari za pombe hivyo pokea changamoto nenda mbele kwa mbele usirudi nyuma.
Nina zaidi ya miaka kumi tangu niokoke na kuacha ulevi
 
Ahsante sana ndugu yangu
 
Whaaat...? Nani ameokoka??
 
Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe
Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi

Je nitafanyaje kuondoa hali hii hasa kwenye jamii na wafanyakazi wenzangu

Nb.Pombe nimeacha kabisa nakuamua kumrudia Mungu
Nakuhakikishia wewe ndiyo utakuwa mlevi wa kwanza kuacha pombe! Walevi wenzako huwa wanapumzika tu kwa muda, kabla ya kurudi tena kwa kishindo.

Hata hao watu wanakushangaa kwa sababu hawajui ni lini utarudi tena kundini.
 
Hapana siwezi kurudia tena Pombe nimeamua kufanya ibada Tatizo ni aibu
 
Back
Top Bottom